Mapokezi ya Wema tishio

Mapokezi ya Wema tishio

Watu wanamsema Wema na kupoint fingers kwakwe hii ni kwakuwa tu mabaya yake yanajulikana lakini tujiulize kwenye familia zetu baba zetu, mama zetu,kakazetu,dada zetu na wote waliotuzunguka je hamna wanaomzidi wema kwa mabaya? Wengine hapa wakifunuliwa ni wachawi waizi, wauwaji na mengine mengi mabaya Ila ndo wa kwanza kupoint fingers kwa wema. Afadhali wema huwa anakiri makosa yake hadharani kuliko wanaojifanya watakatifu hapa.
 
Hahahaaaa
...itoe uone ntachokufanya, utajuta!
....can you imagine, km isiyo yang tu namaind, vip ikiwa yangu???
...usijaribu wala kuwaz kabisa dia.

Siwezi kuitoa baby maana nahisi utaninyonga kabisaa
 
Kajamaa kale, kamme ka la mentari katakua kamemloga.
 
Hivi hii mitoto ya kiume kweli inapoteza muda kwenda kushabikia kitu kama hiki,?? Na huyu petit man hivi huwa anadamu ya kiobama nini!!!
 
mine kuna kitu unajua nimejifunza..
kuna watu hapa duniani wameumbwa kuja kukatisha wenzao tamaa tu..

yani wako hvyo hawabadiliki na hawatobadilika
roho zao ni visasi na vinyongo they will never appreciate chochote ufanyacho as long as they hate uu

sijui huyu wema ana mabaya gani makubwa kwa waTZ baadhi mpk wamchukie hvyoo..

ila wakumbuke wao ni wazazi wa baadae tena watakua na mabinti au vijana MUNGU atawaonyesha tuuu

natamani nione malezi yao au the way they ar raising their kids..

they pretend to be so perfect...!!
WEMA BE WEMA FANYA WEMA NILIKUA NI MIONGONI MWA WASIOKUKUBALI BUT NOW NAKUKUBALI SANA
naimani hakuna kinachoshindikana duniani...MUNGU yupo nawe haya maneni yetu,sie wasaga sumu fanya km vile ndo silaha ya mapambano yako!!utafika tuu!!

Hao wanaojifanya wanampenda na kumpokea sijui ni wanafiki, angepata kura 90? Tena kawa wa mwisho kabisa, acheni mapenzi ya kinafk, ni bora mumchukie mtu kuliko kujifanya mnampenda wakat sio kwel
 
Kujua anakujaje na lini meneja Wa Wema kazi yake nini?
Kama huamini basi. Ila kuna kundi whatsapp la team Wema ni hatari. Kiingilio na michango ya kila mwezi ni nusu ya mshahara wako. Group lina members Wa rika zote, wa Tanzania walioko nchi tofauti n.k. eti washindwe kujichanga milioni ya mapokezi au milion 4 ya kumsapoti kwenye kampeni?? Km hupendwi ni wewe.

Mmh hao team wema wa huko whatsapp hawajielewi yani unatoa kiingilio kikubwa hicho kwa ajili ya nn? Si bora mngemsapoti milen magese anayesaidia wanawake wenye matatizo ya uzazi, sasa huyo wema kafanya nini kikubwa kwenye jamii? Tuongee ukweli hapa kafanya nini zaidi ya kutafuta umaarufu wa kijinga, kazi ya maana hana yupo yupo tu kama mtu asiyejielewa
 
Maskini mama ubaya anajifarij mwenyewe ubunge wenyewe kakosa bora angetulia tu sio kwa kura 90 alizopata aiseeh
 
Back
Top Bottom