Johnson Alex Otieno
Senior Member
- Mar 14, 2013
- 172
- 57
Salaam watanzania.
Nimeona niwajuze watanzania na vyombo vinavyolinda mipaka ya nchi hii kubwa na Tukufu.
Kwa miaka zaidi ya minne nimekuwa nikitembelea mikoa tajwa,mambo niliyoona ni haya ;
1) Makundi makubwa ya ng'ombe toka nchi jilani huingia na kutoka nchini Tanzania kila baada ya kipindi fulani,makundi haya ya ngombe huingizwa Mikoa ya Kagera ,Geita na Mwanza.
Aisha makundi haya huambatana na makundi ya wachungaji ambao kiasili sio watanzania .
Jambo hili linahatarisha usalama wa nchi yetu na linachangia ongezeko la wahamiaji haramu kwa nchi yetu.
2) Aidha watu wanaoambatana na ng'ombe hao huacha kazi ya kuchunga na kuanzisha makazi ya kudumu kwenye maeneo ya karibu na Mapoli wanayochungia ngombe.
Baadhi yao huanzisha kilimo cha Tumbaku ambacho huleta pia wafanyakazi wa bei rahisi today nchi jilani,wafanyakazi hawa nao ni haramu kwa maana hawana vibali vya kuishi wala kufanya kazi nchini.
Kama Taifa ni wajibu wetu kuzuia kwa namna yoyote raslimali zetu kutumiwa na Wageni.
Hifadhi ya Kigasi ni mfano mzuri wa namna maeno tajwa yanavyotumiwa vibaya na wananchi wa nchi jilani.
Ni wito wangu kwa serikali kufanya operation kama ya kipindi ya uongozi wa Rais mstaafu J.M.KIKWETE.
ILe operation ilifukuza na kuondoa wahamiaji wote na shughuli zao,ikumbukwe usalama wa nchi yetu unapaswa kuwa kipaumbele chetu cha kwanza kama Taifa.