SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,016
- 13,780
Yaani imebidi nimchungulie!!!!Yani hapo ndio umeingia JF tarehe 10 hata wiki haijaisha.
Ameanza mwaka mwenzako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani imebidi nimchungulie!!!!Yani hapo ndio umeingia JF tarehe 10 hata wiki haijaisha.
nzuri hiyo..nini ilikuwa mbaya had wakakulock?Ndio nilifunguliwa Jumamosi 13/1/2018
Ugomvi wangu na yule mwizi wako wa avatar, nilimtukananzuri hiyo..nini ilikuwa mbaya had wakakulock?
Kumbe humu jf Mmh Ni I'd ya mtu.
anhaa duu anakeraUgomvi wangu na yule mwizi wako wa avatar, nilimtukana
[emoji16] [emoji16] [emoji23] [emoji23] huo ndo ukweli kabisaYani hapo ndio umeingia JF tarehe 10 hata wiki haijaisha.
Sasa hivi mpango mkakati nilio nao kila akini quote nahakikisha nina mu ignore, na uzuri ID zake karibia zote 100000 nazijuaanhaa duu anakera
Sweety zai, wewe unaonekana utakuwa kero sana humu Jf siku za usoniMaliza hapa dukuduku lako na povu lako zito kwa member wa JF kwa kumtag na kumwambia ukweli mtaje member unayeona ni kero hapa JF na umwambie ajijue.
Serikali inaendelea na ukarabati wa Shule 3! Azania, Jangwani na Mirambo, nyuzi kama hizi tutaletewa sana! Na uzuri server za JF hazijui kuchuja!
Aahahha acha uchochezi
Nipo abroad mkuumvua ipo nchi nzima we wapi huko hakuna!
Acha bwanaKumbe humu jf Mmh Ni I'd ya mtu.
AhahahhahaSerikali inaendelea na ukarabati wa Shule 3! Azania, Jangwani na Mirambo, nyuzi kama hizi tutaletewa sana! Na uzuri server za JF hazijui kuchuja!
Kazi ipoMmh...anza Ww kwanza.
CheupeAahahha acha uchochezi
Me cheusi bana Antonio avatar isikutisheCheupe
hongera japo najua unamiss sana nyumbani nini zaidi shule au maisha?Nipo abroad mkuu
we jamaa nulijua umekufaHow?
Sana mkuu namiss sana maisha ya bongo nipo huku nabeba boxhongera japo najua unamiss sana nyumbani nini zaidi shule au maisha?