Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,116
- 4,979
kwa huu hata akifungwa akipewa dhamana atagoma kutokaAahahha acha uchochezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa huu hata akifungwa akipewa dhamana atagoma kutokaAahahha acha uchochezi
[emoji3][emoji3][emoji3]kwa huu hata akifungwa akipewa dhamana atagoma kutoka
Umesahau jf sio kama bikraYani hapo ndio umeingia JF tarehe 10 hata wiki haijaisha.
beba ndugu yangu leo haisumbui ila kesho ndo balaa hivyo kama inalipa andaa kesho yako pia kwakuwa wakati huo hautaweza beba box tenaSana mkuu namiss sana maisha ya bongo nipo huku nabeba box
Asante mkuubeba ndugu yangu leo haisumbui ila kesho ndo balaa hivyo kama inalipa andaa kesho yako pia kwakuwa wakati huo hautaweza beba box tena
Hahaaa. Bora umemwambia rafiki.Mmh...anza Ww kwanza.
Mi najua we no cheupe ata kabla ya iyo avatarMe cheusi bana Antonio avatar isikutishe
Mchochezi huyu hana lolote,sijui katokea wapi kwanza,...[emoji23]Hahaaa. Bora umemwambia rafiki.
Sababu hiyo kukerwa vipi wakati kila mtu ana bando lake. Hahahaaa.
Mambo yako?Kazi ipo
Hahaaaa. Itakuwa humuhumu my dear ila kaamua kuja kivingine.Mchochezi huyu hana lolote,sijui katokea wapi kwanza,...[emoji23]
Yako poa na mbona sijaona povu lakoMambo yako?
Povu ruksaHahaaaa. Itakuwa humuhumu my dear ila kaamua kuja kivingine.
Atupishe sieee. Hatutaki mapovu sababu hatuna nguo chafu za kufua.
Sina sabuni[emoji20]Yako poa na mbona sijaona povu lako
Werereeee[emoji108] [emoji108]Hahaaaa. Itakuwa humuhumu my dear ila kaamua kuja kivingine.
Atupishe sieee. Hatutaki mapovu sababu hatuna nguo chafu za kufua.
Huu ulioletwa na muanzisha srediUchochezi ni nini??