Maproducer wa bongo huja na kupotea kama upepo. msichachawe na Mr. T Touch

Maproducer wa bongo huja na kupotea kama upepo. msichachawe na Mr. T Touch

Miika Mwamba yupo kwao Finland anakujaga bongo kimya kimya na kusepa.
 
Muda mwingine uwe unauliza watu walio karibu na Mr T touch siyo unaongea ongea tu kwa muda mfupi niliokaa na Mr T touch nimegundua ni mtu peace, asiye na makuu,mvumilivu na hayo mnayosema kuwa kamfanyia kiburi Mr Nay ni kwa kuwa katumia busara tu kutosema yote na Mr Nay yeye ndiyo kaongea mengi ili aonekane Mr T ndiyo mkorofi
Mnawasemaga hivi wakiwa kwenye peak. Hata makonda alikuwa na nyuki wake
 
Kuna jamaa nimeanza kumsikia juzi Kati anaitwa yogo nae Yuko vyema lakini biti zake Kama vile hazina uzito vilee.
 
Back
Top Bottom