Maprodyuza wangu wa muda wote hapa bongo

Toka wewe hujaanza kumsikia wala kumjuwa.....Msipende kuwapa watu ujiko tu, eti Majani....yeye ni nani?
We hujui lolote kuhusu muziki.

Miika Mwamba,Majani na Master Jay ni watu wenye heshima kubwa mno kwenye Bongo Flava.

Nenda kacheze unapochezaga.
 
P_Funky Majani,Master J,ManWater,MarcoChali na Mr.T touch
 
nimewakumba tena hawa

Dunga wa mandugu digital Nako2nako wamemfaidi sana

Lamar wa fishcrab record.

Tricio wa rockatz kamtoa belle9

Kanyeria kapita 41 record na kala pina
 
Majani
MJ
Lamar
Bob junior
KGT
Maneke
Ema the boy
Kid bway

Maproducer ovyo kwenye maisha yangu
Laizer
T touch
Lolpop
Kisaka
D X yaan hawa hata bure sirekod kwao Mungu unisamehe.
 
Majani
MJ
Lamar
Bob junior
KGT
Maneke
Ema the boy
Kid bway

Maproducer ovyo kwenye maisha yangu
Laizer
T touch
Lolpop
Kisaka
D X yaan hawa hata bure sirekod kwao Mungu unisamehe.
Man water pia ni best na Duke wa M Lab nawakubali sana
 
We hujui lolote kuhusu muziki.

Miika Mwamba,Majani na Master Jay ni watu wenye heshima kubwa mno kwenye Bongo Flava.

Nenda kacheze unapochezaga.


Hawana issue yeyote....labda ni wakubwa kwako kwa sababu unajilazimisha hivyo.
 
Sasa ulitaka nyimbo za miaka 10 iliyopita ziwe zinapigwa kilasiku hizi mpya zitapigwa lini we kilaza?

Mimi nijuavyo Majani ni mpiga kinanda tu, si producer wa ukweli....hana issue na hajawahi kuwa producer mzuri sema tu alikuwa ni mmojawapo wa vilaza (producers) wa awali hapa bongo. Nyie hapa mnampigia debe huku mwenzenu wala hajuwi kazi yake nini kutokana na kichwa chake kuungua bangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…