Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Umeanza kumjua Majani mwaka gani?!
Toka wewe hujaanza kumsikia wala kumjuwa.....Msipende kuwapa watu ujiko tu, eti Majani....yeye ni nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza kumjua Majani mwaka gani?!
ProducerToka wewe hujaanza kumsikia wala kumjuwa.....Msipende kuwapa watu ujiko tu, eti Majani....yeye ni nani?
Sasa ulitaka nyimbo za miaka 10 iliyopita ziwe zinapigwa kilasiku hizi mpya zitapigwa lini we kilaza?Sasa mbona hatuzisikii leo hii? Producer huwa anatengeneza kitu kilichoenda shule si ubabaishaji tu.
Producer bora wa wakati wote, kwani we nani?Toka wewe hujaanza kumsikia wala kumjuwa.....Msipende kuwapa watu ujiko tu, eti Majani....yeye ni nani?
We hujui lolote kuhusu muziki.Toka wewe hujaanza kumsikia wala kumjuwa.....Msipende kuwapa watu ujiko tu, eti Majani....yeye ni nani?
Kutozisikia leo hii ni kosa la Producer, Kwanza huzisikii na nani?Sasa mbona hatuzisikii leo hii? Producer huwa anatengeneza kitu kilichoenda shule si ubabaishaji tu.
Inaonekana wewe ni mtoto wa juzi.1, T-touch
2, mesen selekta
3, shebby clever
4, jomba njoo(njoo studio)
5, Abbydad
6, lolipop(classic music)
je, wewe unamkubali yup u team weka pembeni
Man water pia ni best na Duke wa M Lab nawakubali sanaMajani
MJ
Lamar
Bob junior
KGT
Maneke
Ema the boy
Kid bway
Maproducer ovyo kwenye maisha yangu
Laizer
T touch
Lolpop
Kisaka
D X yaan hawa hata bure sirekod kwao Mungu unisamehe.
ustadh juma naye ni producer????????? duuh muziki umkuaHAPO NAMJUA MACCO CHAL vp kuhusu ostadh juma namus0ma au c9one
We hujui lolote kuhusu muziki.
Miika Mwamba,Majani na Master Jay ni watu wenye heshima kubwa mno kwenye Bongo Flava.
Nenda kacheze unapochezaga.
Producer bora wa wakati wote, kwani we nani?
Sasa ulitaka nyimbo za miaka 10 iliyopita ziwe zinapigwa kilasiku hizi mpya zitapigwa lini we kilaza?