Maprofessa wetu tatizo ni elimu au vyuo walivyosomea?

Hahahhahaa umepaniki Mataga Yatima
 
Kwani wakati ule hakuibua hoja akapata vitisho?
 
Jamaa unamsema kabudi japo unazunguka sana
Mkuu mimi sijasema mtu...nasema mfumo wa elimu au mbinu za uwasilishwaj ...je wasomi wetu wameelimika?....great minds discuss issues....mind ya wana janvi wanaojielewa watadiscuss issues na solutions na sio watu na personalities....
 

marehemu akifa na ofisi imekufa...

Kipindi kile angeongelea wapi sasa, maana hata ukumbuki lazima kibali unyimwe...na FFU lazima wamwagike....
 
Tatizo ni kuwa level yngu ya uelewa ni ya juu kuliko ya baadhi ya ma profesa na madaktari (wa kusomea)....inashangaza.maana kama hawa tunaowaona wamechaguliwa inamaana ndio wazuri zaidi kwenye sector zao...sasa wabovu sijui walivyo....
kumbe uliachia shule darasa la sita alafu unataka kumuelewa profesa [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Go east go west Africans are naturally physically and mentally weak.
 
Elimu yao ya kukariri bila kuyaelewa na kumudu mazingira ndomana hawagindui kitu ni kusema tuu flank alisema hivi mwaka flani
 
Na ndo wafujaji wa nchi, wenyewe hawatakagi kufikiri nje boks wao walichakaririshwa a ndo hichohicho kisa walisoma hivo
 

naye kick tu zinamsumbua.

akipewa chaka hapo anaanza kuimba.
 
Bado nakuna kichwa Kabudi kutumia usafiri wa ndege kufuata dawa Madagascar Kama vile kuondoa baiskeli kuingia porini kuchimba mitishamba
 
Kuwaelewa inahitaji akili nyingi sana...

Mwenye akili nyepesi kama wewe unaona mauzauza tu
 
Zamani nilikuwa nasikia Proffesor nahisi uelewa wake ni mkubwa kuliko Binadamu wa kawaida Kumbe ni uwezo wa kuelezea Jambo la kiswahili kwa kiingereza kwa kukariri elimu ya kikoloni tuu
 
Usinikumbushe Prof. Muhongo
 
Msomi hawezi kuwa anaongea siasa, press ya Assad haina tofauti na press ya Chadema.
Siasa zinaongelewa na wasio wasomi kama akina kabudi, lipumba, magufuli, na wale wengine wote wa sisiemu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…