Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umetoa maoni mazuri sana kwenye mapokeziKOCHA AFANYIE KAZI YAFUATAYO:
1. Aachane kabisa na lile soka tulilocheza ugenini kule cape verde la kupaki basi
2. Ashambulie mwanzo mwisho na amiliki mpira muda wote ili kumyima adui mwanya wa kutuangamiza.
3. Wacheze pasi ndefu za chini chini lakini wakijiloga kucheza mipira ya juu wameumia maana majamaa ni marefu sana na nimesikia kuwa wameapa bora wafie uwanjani mbele ya mashabiki wao kuliko kufungwa.
4. Apunguze kumwamini sana SAMATTA na kumwogopa kwani mara nyingine hata kikosi anapanga yeye na kuwapendelea marafiki zake ambao viwango vyao vimeshaashuka ili kuwarudisha kwenye chati kama akina ULIMWENGU.
5. Wasikate tamaa mbele ya kelele za mashabiki wao amabao watakuwa wengi sana hata kama wakiwa wakwanza kufunga, wapambane na kurudisha bao hilo na kuongeza ushindi.
BAADA YA USHINDI WAKATI WA KUPOKEA TIMU.
1. Brass band za majeshi yote ziwe uwanjani na vifaa vyao na uniform full mzuka kuwapokea vijana hao.
2. Kikosi cha polisi cha farasi kitangulie wakiwa wamebeba bandera ya Taifa
3. Liwepo gari kubwa la wazi lililopambwa rangi za Taifa liwabebe mashujaa hao
4. Wananchi wakusanyike barabarani na ikiwezekana maduka yafungwe na shughuli zote zisimame kama ilivyokuwa alipokuja PAPA PAUL II
5. Ziwepo mbwembwe na sherehe za kila namna na vyombo vya habari vya nje na ndani virushe live ili h abari ziwafikie raisi wa fifa, caf na musonye popote walipo duniani.
6. Viongozi wa serikali wafike uwanjani wakiwa wamevalia jezi za timu ya taifa ili kuwapokea mashujaa.
7. Maandamano yapite mjini wakiongozwa na kundi kubwa la brass band za majeshi yote huku wakitembea polepole na kupiga nyimbo za kizalendo kama tuna imani na.... oya..oya..
She promised me she will protect me with her life if something open. Anatamani sana tulane dendaKama nitavyopovuka siku ukipigwa mawe mpaka kufa pale Tehran
Sas timu yetu ilivo ya kise*/"==nge utakuta wanaenda kupigwa kuanzia dakika ya 88 tena wanapigwa tatuNdio mkuu, zinaenda mbili
Mkuu mech saa ngap??Sas timu yetu ilivo ya kise*/"==nge utakuta wanaenda kupigwa kuanzia dakika ya 88 tena wanapigwa tatu
Yaan taamim kam tumeshinda mpak refa apulize filimbi ya mwisho
Maana yake yupo tayari kufa kwaajili yako sio? Sasa jiulize akishakufa wewe utapona? [emoji23][emoji23]She promised me she will protect me with her life if something open. Anatamani sana tulane denda
View attachment 937983View attachment 937983
Huyo binti ni wakipekee. Anapenda sana mambo ya nature. Wee Opium Iran??!!Maana yake yupo tayari kufa kwaajili yako sio? Sasa jiulize akishakufa wewe utapona? [emoji23][emoji23]
Alafu mbona kama kasimama kwenye opium? Au ni mlima ngada? [emoji45]
Nawaona kesho mda kama huu watu mtakavyokuwa mnapovuka [emoji23][emoji23][emoji23]
Taifa stars ikishindwa kufuzu sitakaa nishabikie soka la bongo mpaka nitakapoingia kaburini
Ushindi bna Uganda ndo alikua anahitaji drawDah Uganda wamenifurahisha sana, yaani hapo tunahitaji draw tu tutoboe
ahahahaaaKwa jinsi wachezaji wetu walivyo njaa, hawachelewi kuhongwa na kuuza mechi
ulianza vizuri ila mwishoni naona tumbo limevurugika, umeharisha sana.KOCHA AFANYIE KAZI YAFUATAYO: