Mapumziko ya Kitaifa baada ya Ushindi wa Taifa Stars

Kwan kila group zinaend timu mbili wakuu?
 
Mkuu umetoa maoni mazuri sana kwenye mapokezi
 
Ndio mkuu, zinaenda mbili
Sas timu yetu ilivo ya kise*/"==nge utakuta wanaenda kupigwa kuanzia dakika ya 88 tena wanapigwa tatu

Yaan taamim kam tumeshinda mpak refa apulize filimbi ya mwisho
 
Sas timu yetu ilivo ya kise*/"==nge utakuta wanaenda kupigwa kuanzia dakika ya 88 tena wanapigwa tatu

Yaan taamim kam tumeshinda mpak refa apulize filimbi ya mwisho
Mkuu mech saa ngap??
 
Maana yake yupo tayari kufa kwaajili yako sio? Sasa jiulize akishakufa wewe utapona? [emoji23][emoji23]


Alafu mbona kama kasimama kwenye opium? Au ni mlima ngada? [emoji45]
Huyo binti ni wakipekee. Anapenda sana mambo ya nature. Wee Opium Iran??!!
 
Nashangaa Humu Ndan Weng Mmegeuka Wageni Na Hii Timu
Mechi Zisizo Na Maana Tunashinda Lakin Game Za Kuhitaji Matokeo Huwa Tunapoteza Kiboya Sana
Kesho Lushoto 1 Starz 0
 
we unafanya shuguri gani, hivi unajua ni kiasi gani cha mapato tunayopoteza siku za mapumziko halafu mnataka muondokane na umasikini
 
Yaani Stars wasiposhinda leo,adhabu yao inabidi iwe ya kubangua korosho zote za kule kusini
 
Siku za kusheherakea ushindi zinaweza kutangazwa, lakini si siku za mapumziko.

Unajifanya hukumbuki kwenye maombolezo ilivyokuwa
 
ulianza vizuri ila mwishoni naona tumbo limevurugika, umeharisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…