Mapungufu katika Kili Music Awards na aibu mnayoileta wasanii kwa kutohudhuria

Future president

Senior Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
144
Reaction score
39
Ili hali kampuni bia ya bia ya kilimanjaro inapoteza pesa kwa kujua wasani wataonesha ushirikiano,badala yake hamna kitu,mfano wasanii kama jdee,mzee yusuph,hawakuwepo kwenye upewaji wa tuzo mnakuwa wapi?au dharau,halafu wapo wanaokosaga wanapiga kelele oooh mwaka unaokuja msiniweke,jamani tuheshimu watu na pesa zao wanapowekeza sehemu onyesheni ushirikiano
 
Mbona hata nje kuna wasanii huwa hawapo sk za tuzo na huchukuliwa na wengine.mi nafikiri si jambo la ajabu
 
Ila kwa jide ni kawaida tuzo zote huwa anawakilishwa na mumewe gadna
 
fid q walimpa tuzo za bure hakustahili kupewa zile tuzo,

ney wa mitego ndio alistahili kuchukua mwana hiphop bora, lakini hata kwa category hakuwepo!
 
wewe kweli kiazi fid q unamfanabisha na ney wa mitego??

MKUU mziki sijui ila kwa hili nakupinga aiseee huwezi mfananisha ney wamitego na mwanatalojia WA kitaa farid kubanda bana.

kwanza ney WA mitego sauti tu ndio imempa credit na ujasiri wakuimba hip hop angekuwa na voice ya kati ungemkuta kwenye kundi la yoyoyo wabana pua
 
fid q walimpa tuzo za bure hakustahili kupewa zile tuzo,

ney wa mitego ndio alistahili kuchukua mwana hiphop bora, lakini hata kwa category hakuwepo!

Mkuu turudi ktk thread yetu ya kubet, navojua Ney wa mitego haimbi hip hop,
 
Vijana wengi wa sasa hata hao wataalam wa KTMA hawajui tofauti ya Ku rap na hiphop! hilo ndio tatizo kubwa.
 
taatu,,,.dakika tatu.,,,,ta ta ta taaatu dakika tatu!!!
Lord eyez aka power window.
 
m nashangaa kuona kala na roma hawajapata tuzo yoyote akt nymbo zao zna jumbe nzto sna au wanapewa walioimba mapenz 2?
 
fid q walimpa tuzo za bure hakustahili kupewa zile tuzo,

ney wa mitego ndio alistahili kuchukua mwana hiphop bora, lakini hata kwa category hakuwepo!

inaonekana wewe umeanza kuskilza hiphop juzjuz tu!
 
Ili hali kampuni bia ya bia ya kilimanjaro inapoteza pesa kwa kujua wasani wataonesha ushirikiano,badala yake hamna kitu,mfano wasanii kama jdee,mzee yusuph,hawakuwepo kwenye upewaji wa tuzo mnakuwa wapi?au dharau,halafu wapo wanaokosaga wanapiga kelele oooh mwaka unaokuja msiniweke,jamani tuheshimu watu na pesa zao wanapowekeza sehemu onyesheni ushirikiano

Sio rahisi wa2 wote wakahudhuria bana maana walisema wanadharura.
 
Back
Top Bottom