Affet
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,189
- 1,672
Swadaktaaaaaaa waliofungwa wanajulikana tusipakaziane!Mimi naona alipigwa Simba na siyo Tanzania,
Nirifurahia Sana kwani kipigo tulichpewa kutka kwa sudani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swadaktaaaaaaa waliofungwa wanajulikana tusipakaziane!Mimi naona alipigwa Simba na siyo Tanzania,
Nirifurahia Sana kwani kipigo tulichpewa kutka kwa sudani
wachezaji kukosa misingi, makocha wabovu, TFF imejaa usimba na si watu makini katika usimamizi wa mpira, ligi mbovu, serikali kutowawajibisha TFF, na pia sioni kazi ya BMT! !Kwanza niwape pole wachezaji na Watanzania wote kwa ujumla kwa matokea ya kuumiza kidogo ambayo hatukuyatarajia japo mimi binafisi nilishaona tulichemsha mwanzo kabsa baada ya kuona timu ilitoitwa ikiwa na Striker mmoja. Baadhi walipingana na mtazamo wangu. km mnavyojua tena kuna tofauti kati ya shabiki na mpenzi wa mpira. Kuna mtu akishaona wachezaji anaowapenda wameitwa baaasi atakwambia timu imekamilika. Kwa mtazamo wangu Kamgomoli hizi ndio sababu za msingi zilizoighalimu timu yetu.
1.Timu ilikosa striker muuwaji( Terminator). Chilunda anahitaji kuendelea kujifunza. Ni striker mzuri lakn anakosa uzoefu na match Fitnes.
2. Wachezaji wetu bado hawezi kucheza OBJECTIVE FOOTBAL. Bado wachezaji wetu hawana uwezo wa kumsoma mpinzani wawapo uwanjani. Kubadili mbinu kulingana na vipindi vya dk 15 za mwanzo 30, au 15 za mwisho n.k . Huwezi cheza stail moja tu mwanzo mwisho kwa timu ngumu km Sudan. Kwenye Objective football mchezaji anatambua afanye nn katika eneo gani. Wachezaji wetu wanacheza vzr sn kuanzia nyuma mpaka eneo la katikati. Wanavyozidi kukaribia eneo la 18 mbinu ni km zinawaishia. Sehemu ya kutoa pasi atabutua jishutu na kinyume chake. Mtu anatakiwa aingie nayo zaidi ndani ya 18 au 6 anapiga cross au kutoa basi butu bila hata kuangalia wenzake wako wapi na wamejipanga vp mwishowe mpira unapotea kirahisi kabsa. Kwenye Objective footbal nafasi 2 moja goli. Sasa sisi nafasi 10 hadi 15 utakuta hakuna goli hata moja.
3. Timu ya taifa kwa sasa haina beki mzuri wa pembeni kulia ukimuondoa Shomari ambaye roho yake kwasasa haipo timu ya taifa kutokana na kutelekezwa na TFF baada ya kuumia na Simba wakabeba jukumu la kuhangaika nae hadi akapona. Huo ndio ukweli japo ni mchungu kuongea.
Bonifasi Maganga licha ya mapungufu yake mengi anatatizo kubwa la msingi km beki wa pembeni, kwanza hana speed,pili hawezi kupiga cross kabsa. Jana kapiga cross nje zaidi ya mipira 4 bila kubughudhiwa na mtu. Sielewi ni sifa ipi inayofanya Ndailagije aendelee kumuita timu ya taifa kwangu ni beki wa kawaida sn.
4.Kukosa umakini kwa Idi Nado. Idi ni mchezaji mzuri ila tatizo lake kubwa na ambalo sjui km kocha amewahi kumwambia ni kukosa utulivu. Papara nyingi mno!! Ni mchezaji mwenye juhudi sn akiwa uwanjani tatizo lake kubwa hana utulivu. Anapata chances nyingi sn lakni mipira mingi anapiga nje!
5. Km taifa lazma tutafte washambuliaji wenye maumbo ya kina Mwaikimba. Baada ya Afcon kupita yalisemwa mengi sn kuhusiana maumbo ya wachezaji wetu. Jana tuliwaona Wasudani jinsi walivyo warefu.Mipira mingi wa juu waliicheza wao. Scouting ya nguvu inatakiwa ili kuwapata wachezaji wa maumbo makubwa ili tuweze kupambana na adui wa kila aina la sivyo tutaishia kusema tumeupigwa mwingi huku tumepoteza mechi.
Ndairagije ana mapungufu katika kusoma mchezo na kufanya Sub
Mimi namkubali sana Patrick Aussems katika sub akifanya sub kweli unaona mabadiliko
wasudan ni warefu lakini cross nyingi zilikuwa zinapigwa mipira ya juu tatizo jingine ni timu yetu kushindwa kupiga mashuti ya maana wanapokuwa karibu na goli au kupiga mashuti sehemu ambayo hawastahili kama mashuti aliyokuwa anapiga kelvin yondan, Boniface naganga alikuwa na tatizo la kuchelewa kufanya maamuzi wachezaji wanacheza utafikili wana bifu fulani mtu yuko kwenye nafasi nzuri ya kupewa mpira hapewi badala yake mpira unapotezwa bila sababu ya msingi
Mimi naujua mpira usidhani ni tumbotumbo mimi.
.
Jukumu namba moja la Golikipa ni kuuzuia mpira usiguse nyavu zake na jukumu la walinzi wa mwisho ni kuzuia mipira isimfikie golikipa wao.
.
Sudan haina beki ya kutisha kabisa inapitika kirahisi ila wana golikipa mzuri sana aliziba madhaifu ya walinzi wake, Kaseja alifeli kubali hilo yani alifeli sanaaa lawama zinawahusu washambuliaji na Kaseja pumbavu zao
Hivi nchi yenye watu zaidi ya milioni 50, kweli tumekosa namba 9 mmoja mwenye uwezo wa kuifungia timu yetu magoli?
Ulitaka uitwe wewe..? au ulitaka wacheze 17 ?Hakuna timu imejaa usimba na Azam tupigwe tu tangu matola awe pale anaita madogo wote aliokuwa nao lipuli na Simba kocha wenu nae kijana wake chilunda anaruka ruka tu ple mbele!
Kwanza niwape pole wachezaji na Watanzania wote kwa ujumla kwa matokea ya kuumiza kidogo ambayo hatukuyatarajia japo mimi binafisi nilishaona tulichemsha mwanzo kabsa baada ya kuona timu ilitoitwa ikiwa na Striker mmoja. Baadhi walipingana na mtazamo wangu. km mnavyojua tena kuna tofauti kati ya shabiki na mpenzi wa mpira. Kuna mtu akishaona wachezaji anaowapenda wameitwa baaasi atakwambia timu imekamilika. Kwa mtazamo wangu Kamgomoli hizi ndio sababu za msingi zilizoighalimu timu yetu.
1.Timu ilikosa striker muuwaji( Terminator). Chilunda anahitaji kuendelea kujifunza. Ni striker mzuri lakn anakosa uzoefu na match Fitnes.
2. Wachezaji wetu bado hawezi kucheza OBJECTIVE FOOTBAL. Bado wachezaji wetu hawana uwezo wa kumsoma mpinzani wawapo uwanjani. Kubadili mbinu kulingana na vipindi vya dk 15 za mwanzo 30, au 15 za mwisho n.k . Huwezi cheza stail moja tu mwanzo mwisho kwa timu ngumu km Sudan. Kwenye Objective football mchezaji anatambua afanye nn katika eneo gani. Wachezaji wetu wanacheza vzr sn kuanzia nyuma mpaka eneo la katikati. Wanavyozidi kukaribia eneo la 18 mbinu ni km zinawaishia. Sehemu ya kutoa pasi atabutua jishutu na kinyume chake. Mtu anatakiwa aingie nayo zaidi ndani ya 18 au 6 anapiga cross au kutoa basi butu bila hata kuangalia wenzake wako wapi na wamejipanga vp mwishowe mpira unapotea kirahisi kabsa. Kwenye Objective footbal nafasi 2 moja goli. Sasa sisi nafasi 10 hadi 15 utakuta hakuna goli hata moja.
3. Timu ya taifa kwa sasa haina beki mzuri wa pembeni kulia ukimuondoa Shomari ambaye roho yake kwasasa haipo timu ya taifa kutokana na kutelekezwa na TFF baada ya kuumia na Simba wakabeba jukumu la kuhangaika nae hadi akapona. Huo ndio ukweli japo ni mchungu kuongea.
Bonifasi Maganga licha ya mapungufu yake mengi anatatizo kubwa la msingi km beki wa pembeni, kwanza hana speed,pili hawezi kupiga cross kabsa. Jana kapiga cross nje zaidi ya mipira 4 bila kubughudhiwa na mtu. Sielewi ni sifa ipi inayofanya Ndailagije aendelee kumuita timu ya taifa kwangu ni beki wa kawaida sn.
4.Kukosa umakini kwa Idi Nado. Idi ni mchezaji mzuri ila tatizo lake kubwa na ambalo sjui km kocha amewahi kumwambia ni kukosa utulivu. Papara nyingi mno!! Ni mchezaji mwenye juhudi sn akiwa uwanjani tatizo lake kubwa hana utulivu. Anapata chances nyingi sn lakni mipira mingi anapiga nje!
5. Km taifa lazma tutafte washambuliaji wenye maumbo ya kina Mwaikimba. Baada ya Afcon kupita yalisemwa mengi sn kuhusiana maumbo ya wachezaji wetu. Jana tuliwaona Wasudani jinsi walivyo warefu.Mipira mingi wa juu waliicheza wao. Scouting ya nguvu inatakiwa ili kuwapata wachezaji wa maumbo makubwa ili tuweze kupambana na adui wa kila aina la sivyo tutaishia kusema tumeupigwa mwingi huku tumepoteza mechi.
Mkuu wingi sio hoja.. mimi najaribu kuwaza hawa akina Yondani, Nyoni wakistaafu sijui itakuwaje?Hivi nchi yenye watu zaidi ya milioni 50, kweli tumekosa namba 9 mmoja mwenye uwezo wa kuifungia timu yetu magoli?
Watu type yako mko wengi.. unawezakuta mtu mzima halafu akili ya wiki 1Mimi naona alipigwa Simba na siyo Tanzania,
Nirifurahia Sana kwani kipigo tulichpewa kutka kwa sudani
Binafsi hata mimi sioni maana ya kugawa fedha kwa mchezaji mmoja wakati wapambanaji ni wengi.Kwa hiyo hakuna mwanasiasa aliyejitokeza kutoa sh. milioni 10 kwa mchezaji yeyote yule??? too bad....ukianza kubagua wachezaji kwa kutoa fedha kwa mchezaji mmoja au wawili baada ya ushindi na kuwaacha wengine matokeo kwa mechi inayofuatia ni kufungwa kama ilivyotokea jana...
Zile sub vs SONGO ndio zilisababisha Simba kupata penalt tofauti na jana mbele hawakuwa na plan B.Na Matola na Mgunda nao hawana mbinu za kuusoma mchezo?
Unamaanisha zile sub alizofanya Aussems pale TAIFA dhidi ya UD SONGO? Au zile sub za mwaka jana game away CAF, 3 games 5 goals @?
mashabiki wa mikia utawaona tu😎😎Zile sub vs SONGO ndio zilisababisha Simba kupata penalt tofauti na jana mbele hawakuwa na plan B.
Zile za mwaka jana aliwin aliifikisha timu Robo F.. waulize Vita club wanajua.
Usimba pale TFF na kocha uendeleo, mchezaji hachezi first eleven anachaguliwa Taifa Stars...maskhara haya.wachezaji kukosa misingi, makocha wabovu, TFF imejaa usimba na si watu makini katika usimamizi wa mpira, ligi mbovu, serikali kutowawajibisha TFF, na pia sioni kazi ya BMT! !
Kocha anapenda wale wa Mikia FC.Viungo bora kabisa Fei,Banka na Bui wanakaaje jukwaani au Wanzanzibar???
Sana tu, wapigwe mpaka wachakae.Mimi naona alipigwa Simba na siyo Tanzania,
Nirifurahia Sana kwani kipigo tulichpewa kutka kwa sudani
Kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Walofungwa ni Mikia FC na Tifutifu ka Karia,Mimi naona alipigwa Simba na siyo Tanzania,
Nirifurahia Sana kwani kipigo tulichpewa kutka kwa sudani
Angalau kwa hili nakuunga mkono kuhusiana na soka ShadeeyaIlinikera kwani washambuliaji wanapepesuka tu uwanjani.
Pale tusubiri kudra tu kusonga mbele.
Kizazi cha wanaojua soka ndio kimepotea Tanzania tusubiri kichipukie kingineSehemu ya mtu kuruka kwa kupiga mpira kichwa anashindwa eti anakaa kuusuburia mpira autulize na mguu kisha ndio atowe pasi. Sa sijui ndio ufupi?