Mapungufu niliyoyaona mechi ya jana Tanzania VS Sudan

wachezaji kukosa misingi, makocha wabovu, TFF imejaa usimba na si watu makini katika usimamizi wa mpira, ligi mbovu, serikali kutowawajibisha TFF, na pia sioni kazi ya BMT! !
 
Na Matola na Mgunda nao hawana mbinu za kuusoma mchezo?
Unamaanisha zile sub alizofanya Aussems pale TAIFA dhidi ya UD SONGO? Au zile sub za mwaka jana game away CAF, 3 games 5 goals @?
Ndairagije ana mapungufu katika kusoma mchezo na kufanya Sub
Mimi namkubali sana Patrick Aussems katika sub akifanya sub kweli unaona mabadiliko
 
Niliona shuti 1 tu alipiga SALUM ABUBAKAR "SURE BOY"
 
Umemsahau kocha! Pumbaf zake
 
Niliangalia kipindi cha kwanza tuu nikaenda kulala
 
Hakuna timu imejaa usimba na Azam tupigwe tu tangu matola awe pale anaita madogo wote aliokuwa nao lipuli na Simba kocha wenu nae kijana wake chilunda anaruka ruka tu ple mbele!
Ulitaka uitwe wewe..? au ulitaka wacheze 17 ?
Kitu kinachotugharimu wabongo ni kufikiri Sudan walikuja kufungwa na Tanzania.. Vile mkisikia Mungu ibariki Tanzania mnajua game imeisha.
 
Kwa hiyo hakuna mwanasiasa aliyejitokeza kutoa sh. milioni 10 kwa mchezaji yeyote yule??? too bad....ukianza kubagua wachezaji kwa kutoa fedha kwa mchezaji mmoja au wawili baada ya ushindi na kuwaacha wengine matokeo kwa mechi inayofuatia ni kufungwa kama ilivyotokea jana...
 
Hivi nchi yenye watu zaidi ya milioni 50, kweli tumekosa namba 9 mmoja mwenye uwezo wa kuifungia timu yetu magoli?
Mkuu wingi sio hoja.. mimi najaribu kuwaza hawa akina Yondani, Nyoni wakistaafu sijui itakuwaje?
Tutalaumu makocha hadi tuwamalize lakin wachezaji wetu wengi uwezo wao ni mdogo na hatuna utamaduni wa kusuka vijana toka chini waje waibebe nchi isipokuwa tunaokota tu.
 
Binafsi hata mimi sioni maana ya kugawa fedha kwa mchezaji mmoja wakati wapambanaji ni wengi.
Sema hata anaefanya utumbo huo kichwani hakuna kitu, hata TFF wanashindwa kuelewa hii kitu inajenga ubinafsi uwanjani ili kila mtu aonekane mwamba.
 
Na Matola na Mgunda nao hawana mbinu za kuusoma mchezo?
Unamaanisha zile sub alizofanya Aussems pale TAIFA dhidi ya UD SONGO? Au zile sub za mwaka jana game away CAF, 3 games 5 goals @?
Zile sub vs SONGO ndio zilisababisha Simba kupata penalt tofauti na jana mbele hawakuwa na plan B.
Zile za mwaka jana aliwin aliifikisha timu Robo F.. waulize Vita club wanajua.
 
Zile sub vs SONGO ndio zilisababisha Simba kupata penalt tofauti na jana mbele hawakuwa na plan B.
Zile za mwaka jana aliwin aliifikisha timu Robo F.. waulize Vita club wanajua.
mashabiki wa mikia utawaona tu😎😎

Umbumbumbu hauwatoki tu......
 
wachezaji kukosa misingi, makocha wabovu, TFF imejaa usimba na si watu makini katika usimamizi wa mpira, ligi mbovu, serikali kutowawajibisha TFF, na pia sioni kazi ya BMT! !
Usimba pale TFF na kocha uendeleo, mchezaji hachezi first eleven anachaguliwa Taifa Stars...maskhara haya.
 
Mimi naona alipigwa Simba na siyo Tanzania,

Nirifurahia Sana kwani kipigo tulichpewa kutka kwa sudani
Kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Sana tu, wapigwe mpaka wachakae.
 
Sehemu ya mtu kuruka kwa kupiga mpira kichwa anashindwa eti anakaa kuusuburia mpira autulize na mguu kisha ndio atowe pasi. Sa sijui ndio ufupi?
Kizazi cha wanaojua soka ndio kimepotea Tanzania tusubiri kichipukie kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…