Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
big up!Kwanza huyu ndugu Free style Ideas,amasema hayupo Tanzania kwa muda mrefu,halafu kila kitu alichoandika ni hapa Tanzania,hapa Tanzania,sasa tumueleweje?Halafu Jide hana hajka ya kuomba samahani,kwasababu yule ni Mwanafatuma wa ukweli.
akili ndogo!Na hicho mimi ndio nakiamini, hawa watu wameamua kuwatumia washabiki bila wao kujua ili watengeneze pesa. Subiri hizi show zao ziishe kama utawasikia tena.
Kama Harakati ni zile alizofanya Sugu kapiga potepote kuanzia kwenye media, majukwaani, nyimbo na mitandao ya kijamii na sapoti kubwa kutoka kwa wasanii wenzake bado hakufanikiwa kiivyo ije iwe hii ya Jd ambayo anaifanya kwenye blogs? watu ambao wapo nje na mitandao hawajui chochote kinachoendelea kuhusu yeye na Clouds.
Tukubali tukatae issue ya Jd na Clouds ni matatizo yao binafsi, ila kaamua kaamua kuyazungumzia matatizo yao kupitia njia nyingine ili apate sapoti.
Kwanza huyu ndugu Free style Ideas,amasema hayupo Tanzania kwa muda mrefu,halafu kila kitu alichoandika ni hapa Tanzania,hapa Tanzania,sasa tumueleweje?Halafu Jide hana hajka ya kuomba samahani,kwasababu yule ni Mwanafatuma wa ukweli.
ni upuuzi mno kuanzisha id mupya ili uweze kumtukana mtu! shame on mawingu and your fellow culprits!
Jipange urudi tena akili yako na umri wako kama aziendani narrow minded.
commandoo jode tupo pamoja mama,ila usiwaite watoto wa kiume fatuma,sio vizuri mama eee,umenielewa?
mtoa mada umetumwa na rugay afu mbna umesema haupo tz na mada yako inaonyesha upo tz
jide alisha wambia kama haujui kitu nyamaja utajua taratibu. unadhani kuitwa mwanamke ni kweli ni mwanamke?. tabia za kike ndo zina mfanya aitwe mwanamke. Yule FA ni mnafiki sio kwa jide tu hata kwa wenzake wote. kwanini East coast walimkimbia? au kwanini AY anamkwepa? ile show yake aliyo haikufanyika mbona walio kuwa wana msindikiza AY hakuwemo baadala yake akawaita wasanii wenzake ambao viongozi kama yeye wa fleva unit akina tid na kalla pina?. au kwanini FA amjibie Ruge? kama si u she ni nini?. mia
U might be clever,,i told them few hourz ago,that they should say and stand on the right side on this.I know jaydee very well,she is ignorant,selfish and unadvisable women,she pretend to be good on the audiance's eyez,but its not real.Usiseme kitu usichokijua na usione watu wako kimya ukadhani wamesusa wanatazama akili zako zinapoishia ndipo mwanzo wa akili zao uonekane, omba uzima mwisho wa siku ujidharau na kujiona mjinga. Mnafiki wa kwanza ni Jd na mumewe Gardina walioshindwa kuzungumzia mfumo mbovu wakiwa ndani wakasubiri mambo yawaharibikie ndipo watafute wa kuwaonea huruma na kwa kuwa vichwa vya panzi wako wengi wakasaport hata pasipo kukosoa ujinga na ufinyu wa akili wa lady jd kwa kumwita FA jina lisilostahili
aminia mtoto wa mjini ..bebii anakusalimia sanasjide alisha wambia kama haujui kitu nyamaja utajua taratibu. unadhani kuitwa mwanamke ni kweli ni mwanamke?. tabia za kike ndo zina mfanya aitwe mwanamke. Yule FA ni mnafiki sio kwa jide tu hata kwa wenzake wote. kwanini East coast walimkimbia? au kwanini AY anamkwepa? ile show yake aliyo haikufanyika mbona walio kuwa wana msindikiza AY hakuwemo baadala yake akawaita wasanii wenzake ambao viongozi kama yeye wa fleva unit akina tid na kalla pina?. au kwanini FA amjibie Ruge? kama si u she ni nini?. mia