Mapungufu ya Lady Jaydee na kosa la kumwita Mwana FA kuwa MwanaFatuma

Mapungufu ya Lady Jaydee na kosa la kumwita Mwana FA kuwa MwanaFatuma

Kwanza huyu ndugu Free style Ideas,amasema hayupo Tanzania kwa muda mrefu,halafu kila kitu alichoandika ni hapa Tanzania,hapa Tanzania,sasa tumueleweje?Halafu Jide hana hajka ya kuomba samahani,kwasababu yule ni Mwanafatuma wa ukweli.
 
big up!
kwa hili sikubaliani nalo, mwanafatuma alingani na commando hata siku moja
 
Na hicho mimi ndio nakiamini, hawa watu wameamua kuwatumia washabiki bila wao kujua ili watengeneze pesa. Subiri hizi show zao ziishe kama utawasikia tena.
Kama Harakati ni zile alizofanya Sugu kapiga potepote kuanzia kwenye media, majukwaani, nyimbo na mitandao ya kijamii na sapoti kubwa kutoka kwa wasanii wenzake bado hakufanikiwa kiivyo ije iwe hii ya Jd ambayo anaifanya kwenye blogs? watu ambao wapo nje na mitandao hawajui chochote kinachoendelea kuhusu yeye na Clouds.
Tukubali tukatae issue ya Jd na Clouds ni matatizo yao binafsi, ila kaamua kaamua kuyazungumzia matatizo yao kupitia njia nyingine ili apate sapoti.
akili ndogo!
 
Kwanza huyu ndugu Free style Ideas,amasema hayupo Tanzania kwa muda mrefu,halafu kila kitu alichoandika ni hapa Tanzania,hapa Tanzania,sasa tumueleweje?Halafu Jide hana hajka ya kuomba samahani,kwasababu yule ni Mwanafatuma wa ukweli.

Hoja yako ni nzuri lakini unaponzwa na jazba,!!
 
Jipange urudi tena akili yako na umri wako kama aziendani narrow minded.
 
KLAUDS YENYEWE IMEJAA VINYAMKERA NA WAUZA SURA! NI WATU AMBAO HAWAWEZI SHINDANA NA DUNIA, MAANA WAMEMGEUZA RUGE KUWA mungumtu! NONSENSE! HEBU TUTOLEENI UPUUZI WENU WA KIKE HAPA, KUTWAAAAA KUMNANGA JIDE! MTCHEWWWWWW!
 
ni upuuzi mno kuanzisha id mupya ili uweze kumtukana mtu! shame on mawingu and your fellow culprits!

Hakuna aliye tukanwa hapa sema ukwel unauma,mtetee jaydee kwa kile alichofanya kwa hoja na sio kulalamika.kawa huwezi kaa kimya
 
Jipange urudi tena akili yako na umri wako kama aziendani narrow minded.

Hapo ndo mwisho wako wa kufikilia,usikariri kwamba kila jambo lazima watu wote wasapoti,nyie ndo mnaolalamika moyoni bila kusema ukwel kisha mnakufa na maumivu yenu.kwa nn upelekwepelekwe na kukubali kila unachoambiwa!
 
commandoo jode tupo pamoja mama,ila usiwaite watoto wa kiume fatuma,sio vizuri mama eee,umenielewa?
 
commandoo jode tupo pamoja mama,ila usiwaite watoto wa kiume fatuma,sio vizuri mama eee,umenielewa?
 
jide alisha wambia kama haujui kitu nyamaja utajua taratibu. unadhani kuitwa mwanamke ni kweli ni mwanamke?. tabia za kike ndo zina mfanya aitwe mwanamke. Yule FA ni mnafiki sio kwa jide tu hata kwa wenzake wote. kwanini East coast walimkimbia? au kwanini AY anamkwepa? ile show yake aliyo haikufanyika mbona walio kuwa wana msindikiza AY hakuwemo baadala yake akawaita wasanii wenzake ambao viongozi kama yeye wa fleva unit akina tid na kalla pina?. au kwanini FA amjibie Ruge? kama si u she ni nini?. mia

Usiseme kitu usichokijua na usione watu wako kimya ukadhani wamesusa wanatazama akili zako zinapoishia ndipo mwanzo wa akili zao uonekane, omba uzima mwisho wa siku ujidharau na kujiona mjinga. Mnafiki wa kwanza ni Jd na mumewe Gardina walioshindwa kuzungumzia mfumo mbovu wakiwa ndani wakasubiri mambo yawaharibikie ndipo watafute wa kuwaonea huruma na kwa kuwa vichwa vya panzi wako wengi wakasaport hata pasipo kukosoa ujinga na ufinyu wa akili wa lady jd kwa kumwita FA jina lisilostahili
 
duh!
Mimi nipo njia panda
mmesha nichanganya akili
sijui niende wapi
na log out
siumizi kichwa hawanilishi
coz mwaka jana tuli msuport Sugu
akaongea na ruge kimya kimya
aka waacha wenzie wana mbwera mbwera
na sasa iv wakina rama d,mapacha na kina dj choka hawajakoma
wanatoa suport kubwa xana kwa jd
akiitwa na ruge anaenda kimya kimya
tuwe makini kwenye migogoro kama hii,
sio 2natukanana na kudharirishana sisi kwa sisi
wao unakuta wakipigiana simu wana tu enjoy tunavyorumbana
 
Usiseme kitu usichokijua na usione watu wako kimya ukadhani wamesusa wanatazama akili zako zinapoishia ndipo mwanzo wa akili zao uonekane, omba uzima mwisho wa siku ujidharau na kujiona mjinga. Mnafiki wa kwanza ni Jd na mumewe Gardina walioshindwa kuzungumzia mfumo mbovu wakiwa ndani wakasubiri mambo yawaharibikie ndipo watafute wa kuwaonea huruma na kwa kuwa vichwa vya panzi wako wengi wakasaport hata pasipo kukosoa ujinga na ufinyu wa akili wa lady jd kwa kumwita FA jina lisilostahili
U might be clever,,i told them few hourz ago,that they should say and stand on the right side on this.I know jaydee very well,she is ignorant,selfish and unadvisable women,she pretend to be good on the audiance's eyez,but its not real.
U said well,y ddnt she say it before,at the time she was with them,y dd she wait until now??
 
Mmmh....jamani...jide katoka mbali..aje kushindwa leo haiwezekani...I have so much respect for her na nina amini she wil remain strong
 
jide alisha wambia kama haujui kitu nyamaja utajua taratibu. unadhani kuitwa mwanamke ni kweli ni mwanamke?. tabia za kike ndo zina mfanya aitwe mwanamke. Yule FA ni mnafiki sio kwa jide tu hata kwa wenzake wote. kwanini East coast walimkimbia? au kwanini AY anamkwepa? ile show yake aliyo haikufanyika mbona walio kuwa wana msindikiza AY hakuwemo baadala yake akawaita wasanii wenzake ambao viongozi kama yeye wa fleva unit akina tid na kalla pina?. au kwanini FA amjibie Ruge? kama si u she ni nini?. mia
aminia mtoto wa mjini ..bebii anakusalimia sanas
 
Mleta mada ni mburula...unaongea kishabiki, bila shaka wewe ni mmoja wa waajiriwa wa rugay. Anakulipa sh. ngapi kwa kuleta upuuzi kama huu? Ndio matatizo ya kukaa mjini bila kazi....tafuta kibarua jombaa uachane na utumwe wa kipuuzi kama huo. Na mtakoma mwaka huu. Wakumshangaa ni rugay, mafanikio yote aliyonayo anashindana na Jide lengo kumdidimiza na wewe kwa kukosa akili unafurahia. Wewe na huyo MwanaFatuma hamna tofauti...eti MwanaFatuma ana masters...mtu mwenye masters anaweza kuburuzwa na kuwa msaliti kirahisi hivyo?...Hovyo kabisa! Huyu rugay ni hatari sana kwenye huu muziki, kuwagawa wasanii ameona njia sahihi ili ajinufaishe....usirudie kutuandikia upuuzi kama huu tena. Inawezekana wewe ni rugay...go to hell!
 
Back
Top Bottom