Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itikadi yangu nipo pamoja na Mtu yoyote ambae anaonesha kuonewa!! Ruge anamtumia FA na hii sio Mara moja, jibwana hilo hutanua roho lake baya kwa vijana wengi ambao wanamsujudia, kwa Mara nyingine amemtumia huyu mtoto wa tanga kwa jide mbali na kina sugu!! Pambana JIDE raia tupo nyuma yako ningekua najua kunuti ningemsomea huyu mamba anaesumbua wasanii wetu!!
Tema mate chini kijana hayo mambo ya uzazi uwa watu hawachekani futa kauli.
Anajiona yeye ndio kila kitu akipiga shoo watu wote wakae kimya huo ni upuuzi. Jaydee amechemsha kwakweli kumuita jina la kike mwana fa. Akipata mtoto akili yake itatulia sasa ivi ame panic
Mngese tu,kama hayupo tanzania sisi tufanyaje??,au anataka watu waamini ushenzi wako kwa kuwa upo muheza??,yaani unafiki tu kama upo nje unashoboka na mambo ya huku ya nn??,uko maisha yamekushinda??
Kutokuwa tz sio sababu ya kutokujua nn kinaendelea,naweza kujua mengi japo siko huko kuliko we uliepo huko.
Kwa jinsi nlivyokuwa naufaham ukaribu wa fa na jdee sikutegemea kam wangefikia hpa ila kwa nguvu ya pesa hta milima inahamishwa, bnafsi naamin fa ni msaliti na kakosa msimamo wa kusimamia anachokiamin kwn kam ilitokea awamu a kwnza kupanga trh moja ya show bas yasingejirudia tena ambayo imethibitisha kwmba fa anatumika, ofcoz yaweza kuwa pia n bzness technique ambayo itamfaidisha zaid jdee kwa kupata zaid wateja kutokana na sympath, bt plz fa cum back umma ulikuamin lkn kutokana na hili umeharibuuu mazima!!!
hahaha 'wanawake wakiwezeshwa wanaweza' mmesema mwana nani?