Mapungufu ya Rais Samia: Kupenda machawa

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Raisi Samia ni mwanasiasa lakini anapenda umashuhuri kama Trump. Mapungufu yanakuja pale ambapo
Uchawa unazidi

Uzalendo. Angetakiwa kupenda vilevile haki, kupenda kupigana na rushwa kama anavyopenda umashuhuri. Atapata shida akimaliza uongozi maana watambadilikia hao machawa fake
 
Attachments

  • 65bc2d95-fe8f-4f73-9da7-ad58054f2773.jpeg
    65bc2d95-fe8f-4f73-9da7-ad58054f2773.jpeg
    97.5 KB · Views: 1
Tabia ya kupenda Chawa haina Afya kwa Taifa.

Viongozi wetu wanagekuwa na IQ za kutosha wangekuwa wanapigania kuacha alama kama Katiba Mpya kuacha Tume HURU YA Uchaguzi kujenga taasisi imara nk.

Vitu ambavyo atakumbukwa vitamfanya akumbukwe na vizazi na vizazi.
 
Raisi Samia ni mwanasiasa lakini anapenda umashuhuri kama Trump. Mapungufu yanakuja pale ambapo
Uchawa unazidi

Uzalendo. Angetakiwa kupenda vilevile haki, kupenda kupigana na rushwa kama anavyopenda umashuhuri. Atapata shida akimaliza uongozi maana watambadilikia hao machawa fake
Ni hulka ya mwanamke kupenda machawa; mwanamke anapenda mno kusifiwa. Effective techniques za kumtongoza mwanamke zinajumuisha ufundi wa kumpamba kwa kila aina ya sifa. Hata kama ni ugly wewe muambie uzuri alionao ni mwisho wa maneno. Hapo hata ukimpigia simu kila siku atazipokea tu ili apate tena hayo mapambo!
 
Rais anawezaje kuwa na ukaribu na watu kama Mwijaku,Mengele,Levo na mbaya kuliko yote yule kiumbe Dotto Magari, achilia mvuta sigara bwege Harmonize ?😡
Jiandae kuona mengi (usiyoyatarajia) mwaka huu wa uchaguzi. Rais atacheza (na walalahoi) kila aina ya mziki: Singeli, Mdundiko, Mdumange, Mduara, etc. Why? Kura at any cost!
 
Hao wasanii wanafurahia biashara zao za unga zinakwenda vizuri bila kubuguziwa ndio maana wengi wamekimbilia huko, ukiangalia wengi kwa sasa hawaimbi wala hawaigizi wanaishi kiujanjajanja tu so wameona bora kuwa chawa mzigo upite
 
Tabia ya kupenda Chawa haina Afya kwa Taifa.

Viongozi wetu wanagekuwa na IQ za kutosha wangekuwa wanapigania kuacha alama kama Katiba Mpya kuacha Tume HURU YA Uchaguzi kujenga taasisi imara nk.

Vitu ambavyo atakumbukwa vitamfanya akumbukwe na vizazi na vizazi.
Chama dola CCM kinatumia mfumo wa unyumbu wa kisiasa,

Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo a.k.a kujizima data, kwasasa uchawa
 
Ni hulka ya mwanamke kupenda machawa; mwanamke anapenda mno kusifiwa. Effective techniques za kumtongoza mwanamke zinajumuisha ufundi wa kumpamba kwa kila aina ya sifa. Hata kama ni ugly wewe muambie uzuri alionao ni mwisho wa maneno. Hapo hata ukimpigia simu kila siku atazipokea tu ili apate tena hayo mapambo!
🌤️🙋‍♂️✍️🎯👌👍👏👊🤝🙏🆒
 
Rais anawezaje kuwa na ukaribu na watu kama Mwijaku,Mengele,Levo na mbaya kuliko yote yule kiumbe Dotto Magari, achilia mvuta sigara bwege Harmonize ?😡
Mkuu punguza ubaguzi na ukaburu.

Rais kuwa nao karibu si tatizo kama anafanya maendeleo na kusimamia haki za raia kikamilifu.

Rais ni wa wote Mkuu.
 
Back
Top Bottom