Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
Wanalipwa wote hao, ndio maana. angekuwepo Mgumu Magu hata usingeona ujinga huu.
Mkuu kwani uchawa umeanza wapi, kamulize misiba!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanalipwa wote hao, ndio maana. angekuwepo Mgumu Magu hata usingeona ujinga huu.
Musiba alikuwa anatafuta cheo kwa nguvu, alilazimisha sana. yule ni mjasiliamali alitafuta umaarufu kwa nguvu. Hawa wanalipwa tangu mwanzo, waangalie hata nyimbo hawaimbi tena siku hizi, pesa za ccm zmejaa.Mkuu kwani uchawa umeanza wapi, kamulize misiba!!!
Wanampenda au wanapenda matumbo yao!!!Ila machawa wamezidi kumpenda Samia kuliko hata Samia anavyowapenda
Sio swala la Jinsia, Magufuli pia alikuwa anapenda sana Machawa ya kumsifia.Ni hulka ya mwanamke kupenda machawa;
Umemdhalilisha Trump. Mweke Samia peke yake ndo anapenda UchawaRaisi Samia ni mwanasiasa lakini anapenda umashuhuri kama Trump. Mapungufu yanakuja pale ambapo
Uchawa unazidi
Uzalendo. Angetakiwa kupenda vilevile haki, kupenda kupigana na rushwa kama anavyopenda umashuhuri. Atapata shida akimaliza uongozi maana watambadilikia hao machawa fake