Mapungufu ya show ya jide ni haya

Mapungufu ya show ya jide ni haya

Na hii hoja yako ndo ina mashikooo? Hoja nyepesi sana unayoitolea povu hapa eti bifu limemsaidia, hebu na msanii mwingine aanzishe bifu na media halafu atangaze shoo tuone. Na tuzo za miaka yote kwa jide ni kutangaza bifu? Kifanyikacho gizani huanikwa nuruni. Wanafiki wameumbuka na mipango yao yote ya ufichoni a.k.a. Gizani

Kaka ni pm mikutumie angalau vocha,hizo tuzo za miaka yote nazo alitengeneza bifu???,mafanikio aliyonayo jide ni kutokana na support ya mashabiki wake ambao ni wengi,huyo cjui wa wapi,hapana chezea anaconda wewe
 
Jana ulikuwa ni usiku wa jide,kwani alikuwa anasherekea miaka kumi na tatu ndani ya game apa bongo,vile vile alikuwa anazindua albamu yake ya nothing but the truth,show ki ukweli ilikuwa kubwa sana,watu walijaa ndani mpaka wengine ikabidi wasimame parking ya nje,kitu ambacho watu wengi walikuwa wanalalamika ni ufinyu wa eneo hilo,kwani mashabiki walikuwa wengi sana,pengine jide hakutegemea kupata watu wengi kiasi kile,ila ilimpasa kutambua yeye ni mwanamuziki mkubwa sana apa bongo,na wadau wanatambua mchango wake,ndo maana jana walijitokeza wengi kumsuport,ila mda mwingine ajipange,kama akifanya show kubwa kama ile ya jana,basi atafute eneo la kutosha ili mashabiki tujimwagr vizuri,ila all in all show ilikuwa kali sana,na ujio wa watu wengi ni ishara ya kukubarika kwa mwanadada huyo,pongezi kwa kutimiza miaka 13

tofauti yako na wabunge wetu ni ndogo sana unaanza na kupinga mwisho unasifia khaa..
 
Wajinga ndiyo waliwao! Huyo binti kabuni bifu na Clouds ili kujitengenezea biashara.

Lakini kwa vile mmeghubikwa na chuki basi hilo hamuwezi kuliona kabisa.

Hivi kwa akili zenu gumba mnadhani angebuni bifu na Times FM au hata Radio One angeweza kupata publicity aliyoipata?

hapo unaongea pumba, na kesi aliyoshitakiwa nayo ni ya kutengeneza?
 
Back
Top Bottom