- Thread starter
- #21
Na hii hoja yako ndo ina mashikooo? Hoja nyepesi sana unayoitolea povu hapa eti bifu limemsaidia, hebu na msanii mwingine aanzishe bifu na media halafu atangaze shoo tuone. Na tuzo za miaka yote kwa jide ni kutangaza bifu? Kifanyikacho gizani huanikwa nuruni. Wanafiki wameumbuka na mipango yao yote ya ufichoni a.k.a. Gizani
Kaka ni pm mikutumie angalau vocha,hizo tuzo za miaka yote nazo alitengeneza bifu???,mafanikio aliyonayo jide ni kutokana na support ya mashabiki wake ambao ni wengi,huyo cjui wa wapi,hapana chezea anaconda wewe