Kumbuka ndiye aliyetoa pass ya kichwa kwa Samata then Samata akakosa goli la Wazi. Of course hayuko vizuri but the guy is a sleeping giant. Anaweza kuamua game ikabadilika muda wowote. Nadhani ni majeruhi yanamsumbua. Kuhusu wachezaji wa Simba nakubaliana na kuongezwa kwa Kapombe ila wengine hapana. Maana aliyecheza jana (Hassan Kessy) anaonekana yuko kwenye show off zaidi kuliko kuzingatia aina ya match inayochezwa. Kwa upande wa midfield wamtoe Frank Dumayo nafasi yake acheze Faisal Salum (Fey Toto). Ila wamejitahidi sana match ya jana compared to their preparation na timu waliyocheza nayo. Ni hayo tu.