Mapungufu ya stars Leo dhidi ya Uganda

Mapungufu ya stars Leo dhidi ya Uganda

Ulimwengu nae ni Kiazi tu hana kitu bora nafasi yake ingebaki hata wazi hakuna alichoongeza wala kupunguza.
Kumbuka ndiye aliyetoa pass ya kichwa kwa Samata then Samata akakosa goli la Wazi. Of course hayuko vizuri but the guy is a sleeping giant. Anaweza kuamua game ikabadilika muda wowote. Nadhani ni majeruhi yanamsumbua. Kuhusu wachezaji wa Simba nakubaliana na kuongezwa kwa Kapombe ila wengine hapana. Maana aliyecheza jana (Hassan Kessy) anaonekana yuko kwenye show off zaidi kuliko kuzingatia aina ya match inayochezwa. Kwa upande wa midfield wamtoe Frank Dumayo nafasi yake acheze Faisal Salum (Fey Toto). Ila wamejitahidi sana match ya jana compared to their preparation na timu waliyocheza nayo. Ni hayo tu.
 
Yote tuyaseme ila tukumbuke uganda pale kwangu timu imecheza vema na kwa kufata maelekezo kitu ambacho wachezaji wengi hawakuwa nacho na hii imechangiwa na kocha kuwa na msimamo na hawa wa kimataifa ambapo huko waliko mpira ni shule wale walioachwa ni sahihi kabisa maana wangeleta uswahili tu na nadhani kocha aliangalia game ya kwanza akaona mapungufu
 
Pengo la kichuya lilikuwa wazi kabisa Msuva alikuwa lone wolf angekuwepo kichuya angetengeneza nafasi nyingi za magoli kuliko alizotengeneza ulimwengu.
Unaweza kuona team haikuwa na muunganiko mzuri kutoka kwa Domayo kwenda mbele.

Uwanja haukuwa Rafiki sana ndiyo maana hakukuwa na ufundi wowote uwanjani
 
Kumbuka ndiye aliyetoa pass ya kichwa kwa Samata then Samata akakosa goli la Wazi. Of course hayuko vizuri but the guy is a sleeping giant. Anaweza kuamua game ikabadilika muda wowote. Nadhani ni majeruhi yanamsumbua. Kuhusu wachezaji wa Simba nakubaliana na kuongezwa kwa Kapombe ila wengine hapana. Maana aliyecheza jana (Hassan Kessy) anaonekana yuko kwenye show off zaidi kuliko kuzingatia aina ya match inayochezwa. Kwa upande wa midfield wamtoe Frank Dumayo nafasi yake acheze Faisal Salum (Fey Toto). Ila wamejitahidi sana match ya jana compared to their preparation na timu waliyocheza nayo. Ni hayo tu.
Nimekuelewa kaka umetoa ufafanuzi wakiufundi
 
Pengo la kichuya lilikuwa wazi kabisa Msuva alikuwa lone wolf angekuwepo kichuya angetengeneza nafasi nyingi za magoli kuliko alizotengeneza ulimwengu.
Unaweza kuona team haikuwa na muunganiko mzuri kutoka kwa Domayo kwenda mbele.

Uwanja haukuwa Rafiki sana ndiyo maana hakukuwa na ufundi wowote uwanjani
Pumba za kiwango cha PhD, hako ka Andunje kamuweke nani benchi kwenye timu ile?
 
Back
Top Bottom