Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasemaje Tujadili Madhaifu Pekee Yake kwan Hakuna Alipofanya vizur..? Pili kwan umelinganisha Moja kwa Moja Na video Ya Ntampata wap kwan na yenyewe Haina Madhaifa..? N bora Kukaa Kmya Kama Huna Cha kuandika
IFRS rudia kusoma huu ujumbe kwa mara ya pili, naona wewe ndio mwenye mapungufu kwa kulinganisha video ya mwana na ntampata wapi??? Inamaana kwa sasa kila video itakayotoka tutailinganisha na ntampata wapi?????
Video kali, tena nnauhakika muda si mrefu itaiona kwenye channel kiduara na media zingine za kimataifa
unatuabisha watu wa mbeya
Ajabu hiyo jamani!Kiba anafanya mziki wake mwenyewe wala hashindani na mtu.Angetaka mashindano nadhani MWANA angeonekana kwenye video yake.
hahahaha kiba nae anajua kukata mauno siku hizi,kweli diamond ni nyoko
Hii video wengi wetu tulikuwa tunaisubiri kwa hamu sana , hasa pale tulipopata habari ali-kiba na yeye kaenda kushoot video kwa hawa jamaa god-father wa south africa wanaotoa video kwa kiwango cha juu, ile imetoka tu jana nikaingia youtube kuicheki, DAH!!! kiukweli video imemalizika nikawa najiuliza mbona ujumbe wa audio na kinachooneshwa kwenye video haviendani!
Nlitegemea kuona mengi kama kumwona huyo mwana dsm alivyoharibikiwa na jiji, lakini hadi video inaisha ni ally kiba kavaa headphone kubwa anatembea na kucheza tu,
Nani alaumiwe hapa management, ally kiba au god father ni heri tu angeshot huku huku bongo kwa nisher
ShkamooWatanzania waajabu sana mnategemea alikiba afanye maajabu makubwa ambayo sio saizi yake,hivyo mnavyoina ndio tafsiri harisi ya uwezo wake kimzki...mim huwa nawashangaa sana mnapochambua na kushindwa kutenga watu au wasanii hawa wawili hasa alikiba na diamond.
Alikiba amejaliwa sauti full stop.but diamond ameanzia hapo na kuendeleaa embu tufke hatua tukubaliane na kazi yake kuwa ndio kiwango chake basi hii ya kuanza kutfta mchawi ni ufinyi wa mawazo
hahahaha kiba nae anajua kukata mauno siku hizi,kweli diamond ni nyoko