Mapungufu yaliyopo kwenye video ya Ally kiba (Mwana Dsm)

Ajabu hiyo jamani!Kiba anafanya mziki wake mwenyewe wala hashindani na mtu.Angetaka mashindano nadhani MWANA angeonekana kwenye video yake.
hahahahahaaaa eti angetaka mashindano mwana angeonekana kwenye video umenichekeshaje?
 
Ww muandika uzi wanakugeuza n kukula kiduara sio bure kwani umesikia ally kiba ni mcheza move? Sio lazima kuweka matukio kwenye video kwani ww ni kiziwe au bubu?
 
Msanii mwenye jina kubwa hapa bongo ally kibba Jana 19.12.2014 ameachia video iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wapenzi wake ya Mwana dsm nimeona tujadili mapungufu yake ili aweze kujirekebisha kwenye video zinazofuata.

1.video hii itatamba sana hapa nchini Tz labda na east Africa tu ila itapata shida sana kutamba katika nchi zisizojua kiswahili kwa sababu video ya wimbo haielezei uhalisia wa maudhui wa nyimbo husika.

Kiufupi mtu asiyejua kiswahili hawezi kujua wimbo unazungumzia nini.

Kwa wale ambao hamjanielewa,wewe mtanzania unayejua kiswahili jaribu kuangalia video wakati sound ipo silent kama utaelewa video inazungumzia nini.

Halafu angalia video ya diamond ya NITAMPATA WAPI bila sauti.

Wewe mwenzangu umeona mapungufu gani

U r very critical...critical thinking
 
Huyu ni Mwanadaresalam mambo ya ki intonation amwachie Diamond.
 
pale south ndo dar au?

Bora god father angekuja kushuti kichupa huku.
 
Msanii mwenye jina kubwa hapa bongo ally kibba Jana 19.12.2014 ameachia video iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wapenzi wake ya Mwana dsm nimeona tujadili mapungufu yake ili aweze kujirekebisha kwenye video zinazofuata.

1.video hii itatamba sana hapa nchini Tz labda na east Africa tu ila itapata shida sana kutamba katika nchi zisizojua kiswahili kwa sababu video ya wimbo haielezei uhalisia wa maudhui wa nyimbo husika.

Kiufupi mtu asiyejua kiswahili hawezi kujua wimbo unazungumzia nini.

Kwa wale ambao hamjanielewa,wewe mtanzania unayejua kiswahili jaribu kuangalia video wakati sound ipo silent kama utaelewa video inazungumzia nini.

Halafu angalia video ya diamond ya NITAMPATA WAPI bila sauti.

Wewe mwenzangu umeona mapungufu gani

mkuu nashukuru kwa kusema umeona mapungufu kwa sababu kwa maoni yako ungependa umuone MWANA akiwa katika hali ya kukimbia nyumbani mpaka kupatwa na matatizo!!!

Kimsingi mkuu unaishi kwa mazoea sio kila wimbo lazima video yake ioneshe mfululizo wa hadithi nzima ya kinachoimbwa,kimsingi naomba nkuulize swali mkuu,
kama ww ndo ungekua DIRECTOR wa video ya ROSE MHANDO ya wimbo wake uitwao UTAMU WA YESU ungeiongoza nasi watazamaji tukapata video iliyo na mlolongo upi wa matukio!!!?
Ukinijb ntaamini hauna chuki binafsi
 
Mkuu tupo pamoja wacheni kwanza kila kitu kitakuwa poa, ni holiday season ni wakati wa bataz mpaka kuku waone gere.

Baada ya christmas tunadondosha thread la kufa mtu likiwa na TBS zote ni total package. Issue yote iko kwa uongozi na haki isipotendeka JF si baba wala mama yangu nitatoa msimamo wangu.

Teh teh teh erick kiwelu bwana kwa mikwara kiboko cc Matola Ritz matumbo mtvbase Bill Cosby
 
Last edited by a moderator:
Unapozungumzia video ya mwana, unazungumzia the most awaited video of the year, na laiti kama video zote zingechambuliwa hv bas bongo tungetisha kwa video bomba
 
Msanii Kwa wale ambao hamjanielewa,wewe mtanzania unayejua kiswahili jaribu kuangalia video wakati sound ipo silent kama utaelewa video inazungumzia nini.

Halafu angalia video ya diamond ya NITAMPATA WAPI bila sauti.

Wewe mwenzangu umeona mapungufu gani

Kwani nyimbo za Captain John Komba ukiweka silent zinaeleweka mkuu ?
 
mkuu nashukuru kwa kusema umeona mapungufu kwa sababu kwa maoni yako ungependa umuone MWANA akiwa katika hali ya kukimbia nyumbani mpaka kupatwa na matatizo!!!

Kimsingi mkuu unaishi kwa mazoea sio kila wimbo lazima video yake ioneshe mfululizo wa hadithi nzima ya kinachoimbwa,kimsingi naomba nkuulize swali mkuu,
kama ww ndo ungekua DIRECTOR wa video ya ROSE MHANDO ya wimbo wake uitwao UTAMU WA YESU ungeiongoza nasi watazamaji tukapata video iliyo na mlolongo upi wa matukio!!!?
Ukinijb ntaamini hauna chuki binafsi

Angeagiza keki yenye umbo la yesu,na kumuonyesha rose akihamasisha watu wakaikate na Kuila.tehh tehh tehh.

Yaan kuna watu wa ajabu humu ndani!!!iyelewi.
 
Unapozungumzia video ya mwana, unazungumzia the most awaited video of the year, na laiti kama video zote zingechambuliwa hv bas bongo tungetisha kwa video bomba

Nakubaliana na wewe mkuu
 
Back
Top Bottom