mkuu nashukuru kwa kusema umeona mapungufu kwa sababu kwa maoni yako ungependa umuone MWANA akiwa katika hali ya kukimbia nyumbani mpaka kupatwa na matatizo!!!
Kimsingi mkuu unaishi kwa mazoea sio kila wimbo lazima video yake ioneshe mfululizo wa hadithi nzima ya kinachoimbwa,kimsingi naomba nkuulize swali mkuu,
kama ww ndo ungekua DIRECTOR wa video ya ROSE MHANDO ya wimbo wake uitwao UTAMU WA YESU ungeiongoza nasi watazamaji tukapata video iliyo na mlolongo upi wa matukio!!!?
Ukinijb ntaamini hauna chuki binafsi