Mapungufu yaliyopo kwenye video ya Ally kiba (Mwana Dsm)

Video kali, tena nnauhakika muda si mrefu itaiona kwenye channel kiduara na media zingine za kimataifa
 
video mboovu! najutia mb zangu nlizozitumia hahahaha naanzisha campagain ya wote tulioangalia hii video youtube.
#kiba bring back our mb's#
 
kwahiyo mlitaka maigizo kwenye mziki au? kama shida yako maigizo nenda bongo muvi yapo mengi acha sie tupate burdan iliyoshiba!
 
Watanzania waajabu sana mnategemea alikiba afanye maajabu makubwa ambayo sio saizi yake,hivyo mnavyoina ndio tafsiri harisi ya uwezo wake kimzki...mim huwa nawashangaa sana mnapochambua na kushindwa kutenga watu au wasanii hawa wawili hasa alikiba na diamond.
Alikiba amejaliwa sauti full stop.but diamond ameanzia hapo na kuendeleaa embu tufke hatua tukubaliane na kazi yake kuwa ndio kiwango chake basi hii ya kuanza kutfta mchawi ni ufinyi wa mawazo
 
Mwana- dar halafu unaenda South wapi wapi si ilitakiwa japo awe anakatiza mitaa ya Dar au ndo kuiga
 
Utasemaje Tujadili Madhaifu Pekee Yake kwan Hakuna Alipofanya vizur..? Pili kwan umelinganisha Moja kwa Moja Na video Ya Ntampata wap kwan na yenyewe Haina Madhaifa..? N bora Kukaa Kmya Kama Huna Cha kuandika

IFRS rudia kusoma huu ujumbe kwa mara ya pili, naona wewe ndio mwenye mapungufu kwa kulinganisha video ya mwana na ntampata wapi??? Inamaana kwa sasa kila video itakayotoka tutailinganisha na ntampata wapi?????
 
Last edited by a moderator:
IFRS rudia kusoma huu ujumbe kwa mara ya pili, naona wewe ndio mwenye mapungufu kwa kulinganisha video ya mwana na ntampata wapi??? Inamaana kwa sasa kila video itakayotoka tutailinganisha na ntampata wapi?????

Ajabu hiyo jamani!Kiba anafanya mziki wake mwenyewe wala hashindani na mtu.Angetaka mashindano nadhani MWANA angeonekana kwenye video yake.
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo unataka awepo wa kulaumiwa sababu+

Hujamuona mwana?
Kavaa headphone kubwa?
Kwenda kushoot video kwa god-fadher?
Kwa sababu hajashoot kwa nisher?

Haha haaaa leo mkorinto umejua kunifurahisha kwelikweli
 
Last edited by a moderator:
Ajabu hiyo jamani!Kiba anafanya mziki wake mwenyewe wala hashindani na mtu.Angetaka mashindano nadhani MWANA angeonekana kwenye video yake.

Kuna watu ni wa ajabu sana kutwa kuwapambanisha domo na kiba,kila mtu na anga zake wanalazimisha 1 iwe 2 haitotokea maishaaa
 
alalamikiwe yeye na management yake.
 
Shoga ww mbn kipind haujui kingereza ulikuwa unakrem mashair ya kingerza?. Na wawo pia watakremu mashair y kiswahili kupitia saut nzur y king
 

sina utaalam sana, ila what so ever went wrong na hawa wasanii wawili i mean kiba na dai, wakulaumiwa ni mashabaki, too much PRESSURE on them na ndio maana wanapanic.
 
Shkamoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…