Mapungufu yangu naona ndio sababu

Mapungufu yangu naona ndio sababu

Sio kweli,nadhani ni namna ya both of them mnavyoendesha hayo mahuciano yenu,ikiwa ni moment if truth basi muambiane, na kukosoana na kujengana,kweny mahuciano kukiwa na hali ya kuckilizana ahhaa,mchezo umeisha,mbona,maana hapo heshima itakuepo,kujaliana
Lakini hayo huweza kutokea endapo tu kuna upendo wa kweli kati yenu and not otherwise.
Ah nyie wanawake wenyewe mnasemaga mahusiiano bila ddrama hayanogi. Basi inabidi tuwachaoe vibaon kidogo alafu ipatikane zinga la makeup sex
 
Back
Top Bottom