Sio kweli,nadhani ni namna ya both of them mnavyoendesha hayo mahuciano yenu,ikiwa ni moment if truth basi muambiane, na kukosoana na kujengana,kweny mahuciano kukiwa na hali ya kuckilizana ahhaa,mchezo umeisha,mbona,maana hapo heshima itakuepo,kujaliana
Lakini hayo huweza kutokea endapo tu kuna upendo wa kweli kati yenu and not otherwise.