Mapya ya Kutekwa kwa Grace Shio: Kumbe aliyelengwa alikuwa Sugu, baada ya kutafakari wakamteka Katibu wake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Hizi ndio taarifa mpya kutokana na Kutekwa kwa Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, ambaye huenda Ameuawa

Aliyepaswa kutekwa alikuwa Mwenyekiti wa Kanda, Bilionea Joseph Mbilinyi akihusishwa na Kishindo cha Bajaj Mbeya Mjini, sasa baada ya watekaji na waliowatuma kutafakari Network ya Sugu Ulaya na Marekani wakagwaya, wakaamua kumteka Katibu wake.

Bali Ukweli ni kwamba, CHADEMA haihusiki na Mgomo wa haki wa Bajaj, Bali inaunga mkono yeyote anayepigania haki zake

Usiondoke JF
 
Huyu jamaa fala kweli,eti Sugu ana Connection wamemgwaya,we andazi kweli kweli connection gani unaongelea kwanza aisee nyie malofa wa Chandema mpk kupata ahueni ya akili ni mwisho wa dunia.
 
Unalia nini sasa?
 
Wakati mwingine nyie manyumbu muwe na aibu na habari zenu za kingese hizi; hivi hamjakubali tu kuwa Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, ni habari nyingine kwenu msiyoiweza hata kwa waganga?!!
 
Kwanini watu ambao wana itikadi tofauti na chama cha CCM wanakamatwa kwa kufiziwa ?
Huu Bi uhuni na upuuzi ambao haustahili kuwepo kwenye nchi inayofuata mfumo wa Kidemokrasia
 
Hizi ndio taarifa mpya kutokana na Kutekwa kwa Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, ambaye huenda Ameuawa

Aliyepaswa kutekwa alikuwa Mwenyekiti wa Kanda, Bilionea Joseph Mbilinyi akihusishwa na Kishindo cha Bajaj Mbeya Mjini, sasa baada ya watekaji na waliowatuma kutafakari Network ya Sugu Ulaya na Marekani wakagwaya, wakaamua kumteka Katibu wake.

Bali Ukweli ni kwamba, CHADEMA haihusiki na Mgomo wa haki wa Bajaj, Bali inaunga mkono yeyote anayepigania haki zake

Usiondoke JF
RC ni reject kila sehemu....aliempigania kwa saa100 ndio anaeharibu nchi tunajua nanibyuko nyuma yake kwa sababu zipi.....huyo kimeo akiwa KM miaka zaidi 10 kote slikuwa anaharibuuu tuu....sasa analindwa sababu ukwe na dume sokwe
 
Huyu jamaa fala kweli,eti Sugu ana Connection wamemgwaya,we andazi kweli kweli connection gani unaongelea kwanza aisee nyie malofa wa Chandema mpk kupata ahueni ya akili ni mwisho wa dunia.
Vipi rais wenu kawakubalia kutukana?
 
Huyu jamaa fala kweli,eti Sugu ana Connection wamemgwaya,we andazi kweli kweli connection gani unaongelea kwanza aisee nyie malofa wa Chandema mpk kupata ahueni ya akili ni mwisho wa dunia.
Sugu rafiki binafsi wa balozi Marekani nchini TZ.
Mwezi uliopita alialikwa kutumbuiza kwenye hafla fupi iliyo andaliwa na huyo balozi.
Alipewa bendi ya muziki ya wanajeshi wa Marekani Marines wakamfanyia backup wakitumbuiza pamoja wakimpigia muziki wa vyombo (live band) jukwaani.
 
Wakati mwingine nyie manyumbu muwe na aibu na habari zenu za kingese hizi; hivi hamjakubali tu kuwa Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, ni habari nyingine kwenu msiyoiweza hata kwa waganga?!!
Nimekudharau sana
 
Back
Top Bottom