Mapya ya Kutekwa kwa Grace Shio: Kumbe aliyelengwa alikuwa Sugu, baada ya kutafakari wakamteka Katibu wake

Sugu rafiki binafsi wa balozi Marekani nchini TZ.
Mwezi uliopita alialikwa kutumbuiza kwenye hafla fupi iliyo andaliwa na huyo balozi.
Alipewa bendi ya muziki ya wanajeshi wa Marekani Marines wakamfanyia backup wakitumbuiza pamoja wakimpigia muziki wa vyombo (live band) jukwaani.
Huyu alikuwa balozi wa Democrats mwaka 2024 na alishaoondoka
Muwe mna taarifa mpya sio mazoea tu
 
Sugu rafiki binafsi wa balozi Marekani nchini TZ.
Mwezi uliopita alialikwa kutumbuiza kwenye hafla fupi iliyo andaliwa na huyo balozi.
Alipewa bendi ya muziki ya wanajeshi wa Marekani Marines wakamfanyia backup wakitumbuiza pamoja wakimpigia muziki wa vyombo (live band) jukwaani.
So what?
Unaelewa maana ya Urafiki binafsi wewe?
Huo ni Ushoga na wanajuana hao kitambo tu.
Mmoja analiwa hapo.
Wacko Jacko alikua na rafiki binafsi(Basha)
Elton John nae mpaka kaolewa na rafiki binafsi.
Wapo wengi tu.
Sishangai huyo mnamuona sugu huku analiwa kifusi kilaini tu na hao marafiki wa hiari.
 
Huna akili
 
Binafsi sijamaanisha wa faragha.
Nimemaanisha siyo wa kiitifaki wa kiserikali.
Binafsi ni kama yule rafiki yako wa mtaani kwenu.
Wanaojihusiha na hayo ya ushoga wanakimbilia kila kitu kuhusisha na ushoga.
 
Sugu rafiki binafsi wa balozi Marekani nchini TZ.
Mwezi uliopita alialikwa kutumbuiza kwenye hafla fupi iliyo andaliwa na huyo balozi.
Alipewa bendi ya muziki ya wanajeshi wa Marekani Marines wakamfanyia backup wakitumbuiza pamoja wakimpigia muziki wa vyombo (live band) jukwaani.
Sasa marekani inahusika nini na mambo ya Tanzania?
 
Sugu wanamgwaya? Nimeishia kusoma hapo.
Najua wewe ni kimada wa sugu jitahidi umzalie ufaidi matunda ya ubilionea si unaona wenzako akina mama sasha wanakula kuku kwa mrija!!
 
Hizi ndio taarifa mpya kutokana na Kutekwa kwa Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, ambaye huenda Ameuawa

Aliyepaswa kutekwa alikuwa Mwenyekiti wa Kanda, Bilionea Joseph Mbilinyi akihusishwa na Kishindo cha Bajaj Mbeya Mjini, sasa baada ya watekaji na waliowatuma kutafakari Network ya Sugu Ulaya na Marekani wakagwaya, wakaamua kumteka Katibu wake.

Bali Ukweli ni kwamba, CHADEMA haihusiki na Mgomo wa haki wa Bajaj, Bali inaunga mkono yeyote anayepigania haki zake

Usiondoke JF
Kwa hiyo walitoka huko wamepanga kumteka sugu,wakafika wakaona waachane na sugu walau wamteke huyo mwingine,yaani mradi wateke tu siku hiyo
 
Hizi ndio taarifa mpya kutokana na Kutekwa kwa Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, ambaye huenda Ameuawa

Aliyepaswa kutekwa alikuwa Mwenyekiti wa Kanda, Bilionea Joseph Mbilinyi
Kumbe Sugu ni bilionea?
akihusishwa na Kishindo cha Bajaj Mbeya Mjini, sasa baada ya watekaji na waliowatuma kutafakari Network ya Sugu Ulaya na Marekani wakagwaya, wakaamua kumteka Katibu wake.

Bali Ukweli ni kwamba, CHADEMA haihusiki na Mgomo wa haki wa Bajaj, Bali inaunga mkono yeyote anayepigania haki zake

Usiondoke JF
 
Hizi ndio taarifa mpya kutokana na Kutekwa kwa Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, ambaye huenda Ameuawa

Aliyepaswa kutekwa alikuwa Mwenyekiti wa Kanda, Bilionea Joseph Mbilinyi akihusishwa na Kishindo cha Bajaj Mbeya Mjini, sasa baada ya watekaji na waliowatuma kutafakari Network ya Sugu Ulaya na Marekani wakagwaya, wakaamua kumteka Katibu wake.

Bali Ukweli ni kwamba, CHADEMA haihusiki na Mgomo wa haki wa Bajaj, Bali inaunga mkono yeyote anayepigania haki zake

Usiondoke JF
Humjui nyonya damu wewe, Sugu Hana connection za kufanya wamuogope.
Wewe sema unamchongea kijanjajanja ili wampoteze.
 
Back
Top Bottom