Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
uyo ni kama baba mzazi kamlea toka akiwa tumboni,mnataka amuite uyo baba kova au mabwepande! dimond lazim amuite uyo baba na amueshimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba sio lazima akuzae.Na kwa kesi hii kama huyo diamond alilelewa toka akiwa mimba ni haki huyo kuwa baba yake..
"Kwa mujibu wa mdogo huyo wa Diamond, Idd, mwaka 1989, mama Diamond (Sanura Khassim ‘Sandra') alipewa ujauzito na Salum (baba yake) kisha waligombana na kuachana.
Akasema baada ya kuachana, mama Diamond alikutana na Abdul ambaye alikubali kuwa naye kimapenzi na kuulea ujauzito huo wa mtoto (Diamond)."
iwapo alimlea toka mimba, hivyo huyo ni baba yake na anastahili matunzo.
Sawa ndugu...Mshukuru Mungu hauko kwenye lile kundi kla watu hapa duniani walikosa watoto na wana option moja tu ya kuasili.....Ubarikiwe na Bwana Yesu...Hana haki ya kuwa baba'ke ana haki ya kuwa mlezi wake.
Baba ni aliye kuzaa tu.
Sawa ndugu...Mshukuru Mungu hauko kwenye lile kundi kla watu hapa duniani walikosa watoto na wana option moja tu ya kuasili.....Ubarikiwe na Bwana Yesu...
Bwana Yesu hajafundisha hayo. hayo ni yako na usimuingize Mtume Yesu (as) kwenye hayo. Baba ni aliyekuzaa tu.
Bwana Yesu hajafundisha hayo. hayo ni yako na usimuingize Mtume Yesu (as) kwenye hayo. Baba ni aliyekuzaa tu.
Yesu sio mtume...Naona upo shalow sana na haya mambo ...kasome biblia..Ubarikiwe na Yesu kristo!!
Waingereza wana msemo "Success has many fathers, failure is an orphan"
Nukta haziungani hapa! Mama kupewa ujauzito na Salum na kuachwa. Kisha anapata mpenzi mwingine, Abdul. Anasiyemulia kisa ni MDOGO wa Nasibu (wa baba mmoja). Ina maana mama alirudi tena kwa Bw. Salum na kupata ujauzito wa huyo mdogo? Au nijihesabu na mimi ni miongoni mwa wale wagumu kuelewa?
Kwa kawaida sipendi kufuatilia habari za namna hii lakini nimelazimika kutoa maoni yangu ili hili liwekwe sawa na ndipo "majaji" watoe hukumu ya haki.
Hata hivyo, huyo baba mlezi kama ni kweli alilea ujauzito na baadaye mtoto, ana haki ya kuitwa baba. Jamani, kuzaa sio kazi, kazi kulea mwana!
Agree mkuu. namkumbuka yule dogo aliyekuja na walezi wake wadachi, ikasemwa walimwasili pale msimbazi baada ya kutelekezwa na mamaye temeke hosp miaka ya nyuma. Wanawake kama nane hivi walijitokeza wakidai ndiyo Biological mothers. kale kadogo kaliamua kuondoka tu.
siunajua mambo ya ajabu ndiyo habari yenyewe??? hata wao huwa hawana habari na mtu asiye maarufu.
Yesu sio mtume...Naona upo shalow sana na haya mambo ...kasome biblia..Ubarikiwe na Yesu kristo!!
Mkuu hongera maana inaonekana mafundisho ya Bwana Yesu unayafahamu yote. Kwanza hakusema hayo ni mafundisho ya Yesu, ye kasema ubarikiwe.
"Kwa mujibu wa mdogo huyo wa Diamond, Idd, mwaka 1989, mama Diamond (Sanura Khassim Sandra) alipewa ujauzito na Salum (baba yake) kisha waligombana na kuachana.
Akasema baada ya kuachana, mama Diamond alikutana na Abdul ambaye alikubali kuwa naye kimapenzi na kuulea ujauzito huo wa mtoto (Diamond)."
iwapo alimlea toka mimba, hivyo huyo ni baba yake na anastahili matunzo.