Mapya yaibuka kuhusu baba wa diamond

Mapya yaibuka kuhusu baba wa diamond

uyo ni kama baba mzazi kamlea toka akiwa tumboni,mnataka amuite uyo baba kova au mabwepande! dimond lazim amuite uyo baba na amueshimu
 
lakini pia mambo ya kifamilia kwanini wanaenda kuyalalamikia gazetino?si wayamalize huko nyumbani waliko?
 
"Kwa mujibu wa mdogo huyo wa Diamond, Idd, mwaka 1989, mama Diamond (Sanura Khassim ‘Sandra') alipewa ujauzito na Salum (baba yake) kisha waligombana na kuachana.
Akasema baada ya kuachana, mama Diamond alikutana na Abdul ambaye alikubali kuwa naye kimapenzi na kuulea ujauzito huo wa mtoto (Diamond)."

iwapo alimlea toka mimba, hivyo huyo ni baba yake na anastahili matunzo.
 
Baba sio lazima akuzae.Na kwa kesi hii kama huyo diamond alilelewa toka akiwa mimba ni haki huyo kuwa baba yake..

Hana haki ya kuwa baba'ke ana haki ya kuwa mlezi wake.

Baba ni aliye kuzaa tu.
 
"Kwa mujibu wa mdogo huyo wa Diamond, Idd, mwaka 1989, mama Diamond (Sanura Khassim ‘Sandra') alipewa ujauzito na Salum (baba yake) kisha waligombana na kuachana.
Akasema baada ya kuachana, mama Diamond alikutana na Abdul ambaye alikubali kuwa naye kimapenzi na kuulea ujauzito huo wa mtoto (Diamond)."

iwapo alimlea toka mimba, hivyo huyo ni baba yake na anastahili matunzo.

Anafaa amtunze kama mlezi wake lakini hawi baba'ke.
 
Hana haki ya kuwa baba'ke ana haki ya kuwa mlezi wake.

Baba ni aliye kuzaa tu.
Sawa ndugu...Mshukuru Mungu hauko kwenye lile kundi kla watu hapa duniani walikosa watoto na wana option moja tu ya kuasili.....Ubarikiwe na Bwana Yesu...
 
Sawa ndugu...Mshukuru Mungu hauko kwenye lile kundi kla watu hapa duniani walikosa watoto na wana option moja tu ya kuasili.....Ubarikiwe na Bwana Yesu...

Bwana Yesu hajafundisha hayo. hayo ni yako na usimuingize Mtume Yesu (as) kwenye hayo. Baba ni aliyekuzaa tu.
 
Bwana Yesu hajafundisha hayo. hayo ni yako na usimuingize Mtume Yesu (as) kwenye hayo. Baba ni aliyekuzaa tu.

Mkuu hongera maana inaonekana mafundisho ya Bwana Yesu unayafahamu yote. Kwanza hakusema hayo ni mafundisho ya Yesu, ye kasema ubarikiwe.
 
Bwana Yesu hajafundisha hayo. hayo ni yako na usimuingize Mtume Yesu (as) kwenye hayo. Baba ni aliyekuzaa tu.

Yesu sio mtume...Naona upo shalow sana na haya mambo ...kasome biblia..Ubarikiwe na Yesu kristo!!
 
Yesu sio mtume...Naona upo shalow sana na haya mambo ...kasome biblia..Ubarikiwe na Yesu kristo!!

Mkuu wala usipate taabu, huyu ndugu yetu tushamzoea. Huwezi kutafsiri Bible kwa kutumia busara za Q'uran ila hawa ndugu zetu hawataki kukubali. Kama walishasema kuwa Petro hakuwa mwanafunzi wa Yesu unadhani kuna wanachojua kwenye Bible?
 
Waingereza wana msemo "Success has many fathers, failure is an orphan"

Agree mkuu. namkumbuka yule dogo aliyekuja na walezi wake wadachi, ikasemwa walimwasili pale msimbazi baada ya kutelekezwa na mamaye temeke hosp miaka ya nyuma. Wanawake kama nane hivi walijitokeza wakidai ndiyo Biological mothers. kale kadogo kaliamua kuondoka tu.
 
...Ukitaka kufahamu UDAKU wa haya magazeti ya UDAKU ndio hapa sasa! Kama wana tatizo la kumjua baba halisi wa Diamond, sijui ili wafanye nini, Kwa nini wasiende moja kwa moja kwa Diamond ambaye yupo siku zote na badala yake wazunguke na kwenda kuwauliza wadogo zake???
 
Nukta haziungani hapa! Mama kupewa ujauzito na Salum na kuachwa. Kisha anapata mpenzi mwingine, Abdul. Anasiyemulia kisa ni MDOGO wa Nasibu (wa baba mmoja). Ina maana mama alirudi tena kwa Bw. Salum na kupata ujauzito wa huyo mdogo? Au nijihesabu na mimi ni miongoni mwa wale wagumu kuelewa?
Kwa kawaida sipendi kufuatilia habari za namna hii lakini nimelazimika kutoa maoni yangu ili hili liwekwe sawa na ndipo "majaji" watoe hukumu ya haki.
Hata hivyo, huyo baba mlezi kama ni kweli alilea ujauzito na baadaye mtoto, ana haki ya kuitwa baba. Jamani, kuzaa sio kazi, kazi kulea mwana!

Kuna logic kwenye hii kauli yako
 
Agree mkuu. namkumbuka yule dogo aliyekuja na walezi wake wadachi, ikasemwa walimwasili pale msimbazi baada ya kutelekezwa na mamaye temeke hosp miaka ya nyuma. Wanawake kama nane hivi walijitokeza wakidai ndiyo Biological mothers. kale kadogo kaliamua kuondoka tu.

Wamama walikuja huku machozi yanawatoka wengine wakisema "si mnaona tunafanana", wamama sometimes wapo complicated kwani mtoto akilelewa na baba miaka yote mpaka akienda kwa mama akiwa mtu mzima ikitokea amepata mafanikio hakuna shida ila ngoja alelewe na mama alafu akapata mafanikio kama baba atamgusa.
 
Hivi katiba mpya imetoka tayari? kama siyo nilidhani tungetumia muda huu kuijadili!
 
siunajua mambo ya ajabu ndiyo habari yenyewe??? hata wao huwa hawana habari na mtu asiye maarufu.

Ila hali inatisha maana mtaani watu wanapenda kusoma magazeti haya ya udaku kuliko haya mengine ndio maana habari nyingi huwa zinapotoshwa kwani wengi ni watu wa kusoma headlines tu lakini inapokuja suala la magazeti ya udaku wanasoma yote. Hivyo ndugu yangu Vodka watu wengi wanapenda kujua maisha ya watu kuliko other issues ambazo ni serious na ndio maana haya magazeti yana exist, heri yetu sie tulio hapa JF tunapata vitu vipya na very sensitive kwa maendeleo ya nchi
 
Last edited by a moderator:
Yesu sio mtume...Naona upo shalow sana na haya mambo ...kasome biblia..Ubarikiwe na Yesu kristo!!

[FONT=Century Schoolbook,Bookman Old Style]Yohana 17:3

[/FONT] "Ili wakujue wewe Mungu wa kweli na wa pekee na wamjue Yesu Kristo uliyemtuma".

Aliyetumwa na Mungu wa kweli, sisi humuita "Mtume" na si kama utakavyo wewe.

Mkuu hongera maana inaonekana mafundisho ya Bwana Yesu unayafahamu yote. Kwanza hakusema hayo ni mafundisho ya Yesu, ye kasema ubarikiwe.

Mimi nabarikiwa na yule ambae hata Yesu (as) anamlilia shida zake:

Marko 15:34-37
Swahili New Testament (SNT)
Ilipofika saa tisa, Yesu akalia kwa sauti kuu "Eloi, Eloi lama Sabaktani?" Yaani, "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?"
 
"Kwa mujibu wa mdogo huyo wa Diamond, Idd, mwaka 1989, mama Diamond (Sanura Khassim ‘Sandra’) alipewa ujauzito na Salum (baba yake) kisha waligombana na kuachana.
Akasema baada ya kuachana, mama Diamond alikutana na Abdul ambaye alikubali kuwa naye kimapenzi na kuulea ujauzito huo wa mtoto (Diamond)."

iwapo alimlea toka mimba, hivyo huyo ni baba yake na anastahili matunzo.

alafu baadae tena mama yake akarudiana na baba yule yule aliyemtelekeza Diamondiiii na kumpa tena mimba ya mdogo wake ambaye ndio huyu Idi Salum!!!!!!?!?!??
****! Jus kuuza magazeti huku wakimdhalilisha mama yao tuu
 
Back
Top Bottom