Mapya yaibuka, Mali za Gertrude Rwakatare. Watoto wake waingia kwenye mgogoro mzito

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mgogoro wa mirathi katika familia ya marehemu Mchungaji Dr. Gertrude Rwakatare umeibuka, huku mtoto wake, Tib Kennes Rwakatare, akidai kunyimwa haki zake za mirathi na kumtuhumu dada yake, Kelen Rose Rwakatare, kwa kile anachodai kuwa ni ubadhirifu wa mali za familia.

Tib pia anamtuhumu dada yake kwa kugushi saini na kutumia mali za marehemu mama yao kukopa shilingi bilioni nane kutoka benki, madai ambayo yameibua mvutano mkubwa ndani ya familia.

Kwa upande wa hisa, mawakili wa Tib wameeleza kuwa alikuwa mkurugenzi wa St. Mary's tangu mwaka 1997, na mwaka 2017 alipewa hisa zote na mama yake. Hata hivyo, baada ya kifo cha mama yao mwezi Aprili 2020, wanadai hisa zake zilipunguzwa hadi asilimia 75, kwa kutumia barua ambayo wanadai ilikuwa ya kugushi na ilihusishwa na madai ya kushindwa kulipia hisa.

Wanatoana roho yarabi ,kwa mali alizoacha Mama Rwakatare.
 
ndugu hawapatani😪.. ! Hakuna ugomvi mbaya kama wa ndugu
 
"""KAENI KAMA NDUGU MUYAMALIZE,MSISHIRIKISHE WAUME AU WAKE MLIOOA AU KUOLEWA NAO,KWANI HAO HUCHOCHEA SHIDA NA MIGOGORO,KAENI KAMA FAMILIA FIRMLY ""
 
Back
Top Bottom