Mapya yaibuka, Mali za Gertrude Rwakatare. Watoto wake waingia kwenye mgogoro mzito

Mapya yaibuka, Mali za Gertrude Rwakatare. Watoto wake waingia kwenye mgogoro mzito

Tatizo kubwa la Mchungaji Dr. Gertrude Rwakatare,alizaa na kila mtu,matokeo yake , kila mtoto Ana tabia tofauti na mwingine!

1. Kellen Rose Rwakatare
2. Mutta Robert Rwakatare
3. Humphrey Kaulila Kenneth Rwakatare
4. Tibe Kenneth Rwakatare
Hawa Wababa wa watoto Ni Rose,Robert,Kaulila na Kenneth ama?Any way Sidhani kama wangekuwa Baba mmoja wangetulia
 
Africa Kwenye Upande wa Transformation ya utajiri Yani generation to generations bado Sana hapo kila Kitu kitayeyuka
Wengi ni rahisi kulaghaiwa, tuna tamaa, tuna ubinafsi, akitokea mtu wako wa karibu akakujaza maneno mabaya unaanza kumwona ndugu yako wa damu hafai.
Kama hawa watoto walipaswa kushirikiana pamoja kutunza utajiri wao, wakawa wanakula mema ya nchi na watoto wao mpaka wajukuu na vitukuu.
 
Tatizo kubwa la Mchungaji Dr. Gertrude Rwakatare,alizaa na kila mtu,matokeo yake , kila mtoto Ana tabia tofauti na mwingine!

1. Kellen Rose Rwakatare
2. Mutta Robert Rwakatare
3. Humphrey Kaulila Kenneth Rwakatare
4. Tibe Kenneth Rwakatare

Mbona hata wa baba mmoja na mama mmoja wanagombania Mali hii ni hulka ya muafrika.
 
Hawa Wababa wa watoto Ni Rose,Robert,Kaulila na Kenneth ama?Any way Sidhani kama wangekuwa Baba mmoja wangetulia

Hawa Wababa wa watoto Ni Rose,Robert,Kaulila na Kenneth ama?Any way Sidhani kama wangekuwa Baba mmoja wangetulia
1. Kelle
2. Robert
3. Humphrey Kaulila
4. Kenneth
Yule mama, huko chini alikua anaachiaga bure
 
Mgogoro wa mirathi katika familia ya marehemu Mchungaji Dr. Gertrude Rwakatare umeibuka, huku mtoto wake, Tib Kennes Rwakatare, akidai kunyimwa haki zake za mirathi na kumtuhumu dada yake, Kelen Rose Rwakatare, kwa kile anachodai kuwa ni ubadhirifu wa mali za familia.

Tib pia anamtuhumu dada yake kwa kugushi saini na kutumia mali za marehemu mama yao kukopa shilingi bilioni nane kutoka benki, madai ambayo yameibua mvutano mkubwa ndani ya familia.

Kwa upande wa hisa, mawakili wa Tib wameeleza kuwa alikuwa mkurugenzi wa St. Mary's tangu mwaka 1997, na mwaka 2017 alipewa hisa zote na mama yake. Hata hivyo, baada ya kifo cha mama yao mwezi Aprili 2020, wanadai hisa zake zilipunguzwa hadi asilimia 75, kwa kutumia barua ambayo wanadai ilikuwa ya kugushi na ilihusishwa na madai ya kushindwa kulipia hisa.

Mali za dhuluma
 
Back
Top Bottom