Mapya yaibuka, Mali za Gertrude Rwakatare. Watoto wake waingia kwenye mgogoro mzito

sasa mkuu we unavyowajua Muta,Rose na humphrey wangeweza kumudu zile mali ?
Mama Rwakatare alikua na upepo sana na hela sema hakupata watoto vichwa nilitegemea mmoja wao kusoma sana ili ashike familia maana Mama yao alipenda sana Elimu na alikua na connection kubwa nje ila ndio hivyo hapo kuna wahuni wamejibanza kwenye kula hizo mali hapatakalika tena..
 
Muta lipelekwa kusoma US karudi na Rasta na uteja juu, sasa hao ndio watoto wa ccm wanagawana mali , ziliibwa ,halafu unakuta kijana kutoka tandale anatetea ccm
 
wanakula wale wanajiita wazee wa kanisa na bodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…