Mapya yaibuka ofisa TRA anayedaiwa kujiua hotelini

Mapya yaibuka ofisa TRA anayedaiwa kujiua hotelini

Gorofa 2 mtu kufa labda Afanye kama anaogelea adive kichwa kitangulieee.. Otherwise its a murder case not suicide sema bongo ndo imeishaa hiyoo!! Na kishindo cha kujitupa hakuna mtu yeyote aliesikia kweli kwa yale mazingira ya ile hotel.
ameuliwa alafu hajavunjika huwezi jirusha bila kuvunjika ni wazi ameuliwa
 
Atakuwa alikataa kupika data au kuna gepu alionekana atakuwa kirusi. Wakamu'delete. Pole sana msaka tonge.
Hata mimi nilihisi hivyo tokea mwanzo.

Na hata walipomsikia anasema kwamba anaogopa inawezekana walimtaka apike mahesabu ya kughushi ila akawa anakataa, ndio wamemuondoa kufika ushahidi aisje akasema
 
Kuanguka kutoka ghorofa ya pili halafu ukafa ni kitu cha kushangaza sana unless utangulize kichwa kwanza kigonge sakafu.

Tusubiri uchunguzi.

Marehemu apumzike kwa amani.
Yule msanii kanumba alijigonga tu sijui ni ukutani. Kuna wanaoteleza tu wala hawapo ghorofani.

We sema kinachoshangaza ni mazingira ya kifo kuwa mwili ukutwe tu asubuhi? Hata kishindo? Na sasa wanasema hajavunjika popote? Otherwise kufa hata kwa kuruka mwenyewe juu kama masai ukatua chini unaweza shtua kitu huko ndani ukafa.
 
Yule msanii kanumba alijigonga tu sijui ni ukutani. Kuna wanaoteleza tu wala hawapo ghorofani.

We sema kinachoshangaza ni mazimgira ya kifo ila kufa hata kwa kuruka mwenyewe juu kama masai ukatua chini unaweza shtua kitu huko ndani ukafa.
Kama nilivyosema lazima iwe kichwa kimepata majeraha makubwa ya ndani, internal head injury. Hapo hakuna namna.

Ni kweli kwamba hata chooni ama bafuni ukiteleza ukaangukia kichwa, survival rate ni ndogo sana.

Kama huyo ndugu alipata head injury ni lazima atafariki.

Tusubiri taarifa ya kiuchunguzi.
 
Hatahivyo, mazingira ya kifo chake hayajakaa sawa boss.
 
Yesu alishanukuliwa kwenye biblia akisema hao wanatangulia:

Mt 21:31 SUV​

Je! Katika hao wawili ni yupi aliyefanya mapenzi ya babaye? Wakamwambia, Ni yule wa pili. Basi Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
 
Mmhhhh,
Sababu ya kuwaingiza makahaba peponi na kuwaacha wengineo ni nini? Dullah Makabila ye alimuingiza mlevi peponi.
 
Back
Top Bottom