Lovebird
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 6,383
- 9,337
Na mabaharia washaanza mmendea wife kwa vijimaneno vya kumfarijiRIP na ile nyumba yako nzuri ambayo umetumia miaka 10 kuijenga na kuishi kwa miaka 1 sasa ni mali halali ya wife wako uliyeishi nae miaka 2.