Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,496
- 7,162
Maisha kweli yanakwaza watu...Hii kauli yako imenifanya niwaelewe wanaosema ndoa ni utapeli.
Mama yake marehemu na baba yake, na ndugu zake wote waliomsaidia miaka mingii hawana mamlaka tena ya kukanyaga ndani ya hiyo nyumba.
Nyumba iliyojengwa kwa miaka 10 Inakuwa mali ya mke alieishi na mume ndani ya hiyo nyumba mwaka mmoja tu wa ndoa yake
Haki yake huyo mwanamke karithi kwa mumewe .
Wazazi na ndugu itakuwa wamesaidiwa Sana ndio.maana kachelewa kujenga na kuoa!