Mapya yaibuka ofisa TRA anayedaiwa kujiua hotelini

Mapya yaibuka ofisa TRA anayedaiwa kujiua hotelini

Nilishasema kuwa kuna walakini kwenye huu mkasa.

Tanzania inapoteza wataalam wake kirahisi kwa sababu za compliances tu.

Kuwa mwizi mwizi utaishi, ukijifanya unataka ukaongoze malaika wanakutanguliza kabla ya muhula
Kwa mkasa tunaoushuhudia wa DP World tu unatosha kufasiri hii comment yako. Ukienda Rome ishi kama waroma.
 
Kuanguka kutoka ghorofa ya pili halafu ukafa ni kitu cha kushangaza sana unless utangulize kichwa kwanza kigonge sakafu.

Tusubiri uchunguzi.

Marehemu apumzike kwa amani.
Kufa hakuna formula. Unaweza kuanguka na baikeli ukafa na aliyeanguka na ndege akapona. Unaweza kufa kwa kupigwa risasi 1 lakini kuna aliyepigwa risasi 36 akapona .
 
Yesu alishanukuliwa kwenye biblia akisema hao wanatangulia:

Mt 21:31 SUV​

Je! Katika hao wawili ni yupi aliyefanya mapenzi ya babaye? Wakamwambia, Ni yule wa pili. Basi Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
Mkuu, habari za Asubuhi. Je. Nawe unapenda kutangulia mbele yetu kuingia ufalme wa Mungu?
===
Nimeuliza hivyo, kwa sababu u-kinara wa kulazimisha tumtoze ushuru DPWorld.
 
Huyu mfanyakazi wangeanza nae atasema nani kamtuma kusema uongo, unawezaje kukaa kusikiliza mtu anaongea nini chumbani kwake hotelini? Tena yupo ghorofa ya pili ambayo kwa vyovyote ni mbali na mapokezi.
 
Gorofa 2 mtu kufa labda Afanye kama anaogelea adive kichwa kitangulieee.. Otherwise its a murder case not suicide sema bongo ndo imeishaa hiyoo!! Na kishindo cha kujitupa hakuna mtu yeyote aliesikia kweli kwa yale mazingira ya ile hotel.
Riki boy mzee mwenzangu wa kubet umewaza jambo[emoji1787]
 
Back
Top Bottom