Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
ameuliwa alafu hajavunjika huwezi jirusha bila kuvunjika ni wazi ameuliwaGorofa 2 mtu kufa labda Afanye kama anaogelea adive kichwa kitangulieee.. Otherwise its a murder case not suicide sema bongo ndo imeishaa hiyoo!! Na kishindo cha kujitupa hakuna mtu yeyote aliesikia kweli kwa yale mazingira ya ile hotel.
Tena hakuna aliesikia hata kishindo aisee.Gorofa 2 mtu kufa labda Afanye kama anaogelea adive kichwa kitangulieee.. Otherwise its a murder case not suicide sema bongo ndo imeishaa hiyoo!! Na kishindo cha kujitupa hakuna mtu yeyote aliesikia kweli kwa yale mazingira ya ile hotel.
Kagorofa kenyewee kafupi balaaa...[emoji3][emoji3] yani mchezo walioucheza ni vile tu hapa ni bongoMIMI nimewahi kuruka kutoka ghorofa ya Pili na sikuvunjika hata kucha huo ni MCHEZO tu wamemchezea
Ndugu zake wanasema hana mke
Hata mimi nilihisi hivyo tokea mwanzo.Atakuwa alikataa kupika data au kuna gepu alionekana atakuwa kirusi. Wakamu'delete. Pole sana msaka tonge.
Si wamesema hana mke? Kama anae achunguzweRIP na ile nyumba yako nzuri ambayo umetumia miaka 10 kuijenga na kuishi kwa miaka 1 sasa ni mali halali ya wife wako uliyeishi nae miaka 2.
Yule msanii kanumba alijigonga tu sijui ni ukutani. Kuna wanaoteleza tu wala hawapo ghorofani.Kuanguka kutoka ghorofa ya pili halafu ukafa ni kitu cha kushangaza sana unless utangulize kichwa kwanza kigonge sakafu.
Tusubiri uchunguzi.
Marehemu apumzike kwa amani.
Kama nilivyosema lazima iwe kichwa kimepata majeraha makubwa ya ndani, internal head injury. Hapo hakuna namna.Yule msanii kanumba alijigonga tu sijui ni ukutani. Kuna wanaoteleza tu wala hawapo ghorofani.
We sema kinachoshangaza ni mazimgira ya kifo ila kufa hata kwa kuruka mwenyewe juu kama masai ukatua chini unaweza shtua kitu huko ndani ukafa.
Hatahivyo, mazingira ya kifo chake hayajakaa sawa boss.Kama nilivyosema lazima iwe kichwa kimepata majeraha makubwa ya ndani, internal head injury. Hapo hakuna namna.
Ni kweli kwamba hata chooni ama bafuni ukiteleza ukaangukia kichwa, survival rate ni ndogo sana.
Kama huyo ndugu alipata head injury ni lazima atafariki.
Tusubiri taarifa ya kiuchunguzi.
Mmhhhh,Yesu alishanukuliwa kwenye biblia akisema hao wanatangulia:
Mt 21:31 SUV
Je! Katika hao wawili ni yupi aliyefanya mapenzi ya babaye? Wakamwambia, Ni yule wa pili. Basi Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.