mbona jua kali ni tamthiliya kali sana japo nimeanza kuifatilia ikiwa katikati, hata dhohari inaonekana iko powa japo bado ipo mwanzo, tamthiliya mbaya labda ni wimbi tu halafu uzuri au ubaya wakitu ni subjective!Ndio maana tamthilia zinazoonyeshwa huko zote mbaya.
Mara tima kahamia kwa JB, mara saizi Sidi nae anataka dyudyu ya JB. kwamba hadi mkwe achapwe daaaaah.Malalamiko ya Huba ni mengi sana, natumai yatafanyiwa kazi.
Si ndio ile mara JB akataka kuoa, mara akawa kichaa…
Mbona mwenyewe anajiposr mtandaoni? Mtoto wa kiume na ana mimba nyingineKazaa nae mwaya, ila mtoto gani sitosema.
Sikutaka kuweka hilo katika habari ili kuwalinda watoto, tupambane na wazazi wao tu.
Jua kali imeshapoteza mvuto wangeimaliza tu mbona kapuni ilisha vizuri hadi tukatamani season 3 ila hii jua kali hapana mizungusho imezidi kumbe wana lao jambombona jua kali ni tamthiliya kali sana japo nimeanza kuifatilia ikiwa katikati, hata dhohari inaonekana iko powa japo bado ipo mwanzo, tamthiliya mbaya labda ni wimbi tu halafu uzuri au ubaya wakitu ni subjective!
Uchafu mtupu ule. Ni moja ya vitu vilivyonifanya niidharau DSTV.Kama hicho kipindi cha kitimtim kina uzuri gani?
Ujinga mtupu na huyo Pili wala kuigiza hajui!
Nilikuwa najiuliza sana alikuwa anapata wapi pesa za kumiliki na kuendesha kipindi kama kile? Hili sakata lilipoibuka ndio nimepata majibu.
Mimi sikuwa naipenda ila ilipofikia karibu na harusi yale mahaba yao yalinivutia, nikashawishika hadi siku ya harusi niliangalia.Mara tima kahamia kwa JB, mara saizi Sidi nae anataka dyudyu ya JB. kwamba hadi mkwe achapwe daaaaah.
Haya maigizo mengine ni shida
Na utakuta baadhi ya familia wazazi wameacha watoto wanaangalia huu upuuzi.
Kuna rafiki zangu kazini wamekuwa kama wamerogwa na hiyo jua kali!Jua kali imeshapoteza mvuto wangeimaliza tu mbona kapuni ilisha vizuri hadi tukatamani season 3 ila hii jua kali hapana mizungusho imezidi kumbe wana lao jambo
Yeah, si ndio ubuyu unapoanzia hapo.Lakini hajawahi kusema kama baba mtoto mmojawapo ni Onesmus mwaya.
yule naye mengi tu yanampita. Mie hata sijui anaendeleaje alinilaga block kitambo.Huu ubuyu mpaka ‘dada’ yetu haujui, amekazania tu mzungu, mzungu!
Mimi bado niko nae kwa account fake, na namkubali sana.yule naye mengi tu yanampita. Mie hata sijui anaendeleaje alinilaga block kitambo.
Mapenzi ya mkurugenzi msaidizi yaiponza kampuni! 🤣🤣🤣Uchafu mtupu ule. Ni moja ya vitu vilivyonifanya niidharau DSTV.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Hahaaaa amekutapeli subscription. Sio yeye tu hata page za udaku za insta zinachukuaga ubuyu huku wakiupeleka insta wanajifanya wameutafuta wao😂😂Mimi bado niko nae kwa account fake, na namkubali sana.
App yake nimeacha kuitumia last month baada ya kunidhulumu subscription yangu ya wiki 2!
Nililipia mwenzi baada ya wiki 2 nikafungiwa!
Sasa hivi ajiandae na yeye kuja kusoma umbea hapa maana ubuyu utakuwa wa moto sana pande hizi.
Halafu nikitafuta msaada sipati. Ujue uzembe katika kidogo unaleta mashaka, nikajiuliza ningelipia mwaka je?Hahaaaa amekutapeli subscription. Sio yeye tu hata page za udaku za insta zinachukuaga ubuyu huku wakiupeleka insta wanajifanya wameutafuta wao😂😂