Mapya yaibuka sakata la Wakurugenzi DSTV kusimamishwa, mapenzi pia yahusishwa!

Mapya yaibuka sakata la Wakurugenzi DSTV kusimamishwa, mapenzi pia yahusishwa!

Malalamiko ya Huba ni mengi sana, natumai yatafanyiwa kazi.

Si ndio ile mara JB akataka kuoa, mara akawa kichaa…
Mara tima kahamia kwa JB, mara saizi Sidi nae anataka dyudyu ya JB. kwamba hadi mkwe achapwe daaaaah.

Haya maigizo mengine ni shida

Na utakuta baadhi ya familia wazazi wameacha watoto wanaangalia huu upuuzi.
 
mbona jua kali ni tamthiliya kali sana japo nimeanza kuifatilia ikiwa katikati, hata dhohari inaonekana iko powa japo bado ipo mwanzo, tamthiliya mbaya labda ni wimbi tu halafu uzuri au ubaya wakitu ni subjective!
Jua kali imeshapoteza mvuto wangeimaliza tu mbona kapuni ilisha vizuri hadi tukatamani season 3 ila hii jua kali hapana mizungusho imezidi kumbe wana lao jambo
 
Kama hicho kipindi cha kitimtim kina uzuri gani?
Ujinga mtupu na huyo Pili wala kuigiza hajui!

Nilikuwa najiuliza sana alikuwa anapata wapi pesa za kumiliki na kuendesha kipindi kama kile? Hili sakata lilipoibuka ndio nimepata majibu.
Uchafu mtupu ule. Ni moja ya vitu vilivyonifanya niidharau DSTV.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Mara tima kahamia kwa JB, mara saizi Sidi nae anataka dyudyu ya JB. kwamba hadi mkwe achapwe daaaaah.

Haya maigizo mengine ni shida

Na utakuta baadhi ya familia wazazi wameacha watoto wanaangalia huu upuuzi.
Mimi sikuwa naipenda ila ilipofikia karibu na harusi yale mahaba yao yalinivutia, nikashawishika hadi siku ya harusi niliangalia.

Yalipokuja mauzauza ya uchizi nikaacha, sio mambo yangu.

Binafsi nyumbani kwangu nimeifungia hiyo Channel, ni marufuku kuangaliwa.
 
yule naye mengi tu yanampita. Mie hata sijui anaendeleaje alinilaga block kitambo.
Mimi bado niko nae kwa account fake, na namkubali sana.

App yake nimeacha kuitumia last month baada ya kunidhulumu subscription yangu ya wiki 2!
Nililipia mwenzi baada ya wiki 2 nikafungiwa!

Sasa hivi ajiandae na yeye kuja kusoma umbea hapa maana ubuyu utakuwa wa moto sana pande hizi.
 
Hahaaaa amekutapeli subscription. Sio yeye tu hata page za udaku za insta zinachukuaga ubuyu huku wakiupeleka insta wanajifanya wameutafuta wao😂😂
 
Hahaaaa amekutapeli subscription. Sio yeye tu hata page za udaku za insta zinachukuaga ubuyu huku wakiupeleka insta wanajifanya wameutafuta wao😂😂
Halafu nikitafuta msaada sipati. Ujue uzembe katika kidogo unaleta mashaka, nikajiuliza ningelipia mwaka je?

Ila kwa ninavyopenda umbea nitarudi tu siku moja.

Habari mama niliyoiweka kabla ya hii imesambaa sana, na wanajifanya kama wameandika wao na hadi picha wamechukua zilezile!
 
Back
Top Bottom