Mara 3 mfululizo Simba ilinusurika kushuka ligi kuu huku Yanga ikiinusuru mara mbili kwa kukubali kuwapa sare na kukosa ubingwa

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Hii ndio maana halisi ya kaka kuwa muungwana kwa mdogo wake hata kama mdogo wake hampendi, kuna muda ilibidi kaka afanye uungwana ajishushe kumkubalia mdogo wake amshinde ili kumuokoa na kuna muda bro ilibidi ajishushe uwezo ili mpinzani achukue ubingwa ilimradi mdogo apone, yote haya yaliwahi kutokea kwenye ligi kuu ya hapa Tz, fatilia mkasa.

Mara Tatu mfufululizo Simba ilinusurika kushuka daraja,na mara mbili Yanga iliinusuru katika michezo ya mwisho kabisa ya ligi hiyo.

1989 Yanga iliinusuru Simba kushuka daraja kwa kukubali suluhu kwenye mechI ya mwisho ya iliyokuwa Ligi daraja la kwanza ( Leo ikiitwa Ligi kuu) ingetokea Simba wangefungwa tu, wangeshuka daraja na kwenda kuanzia kwenye ligi ya Mkoa.

pia msimu wa 1988 Yanga ilikubali kukosa ubingwa ili tu Simba isishuke kwa kukukubali kichapo cha 2-1 ilhali ingetoa droo tu ingekuwa Bingwa wa mwaka huo.

Halikadhalika msimu wa mwaka 1987 Tukuyu Stars a.ka Bhanyambala ilitoa ushirikiano na kuwaruhusu Simba kutoa sare ya 5-5 ili kuwanusuru kushuka darakja, Tukuyu Stars ilikuwa bado ipo kwenye form hasa ukizingatia kwamba mwaka uliopita 1986 walipanda daraja kuingia ligi kuu na kuchukua ubingwa mwaka huo huo, 1987 walikutana na Simba iliyokuwa ikichechemwa waliwavurumishia magoli bila huruma, Ikabidi mechi wakati inaendelea viongozi wa Simba wayajenge pembeni na Tukuyu stars kuwaomba wapunguze spidi ya magoli na wawaruhusu wayasawazishe ilimradi wapate sare ya kuwanusuru kushuka daraja ( haijajulikana ilitumika bahasha ya kaki ama kubembeleza ), , kwa bahati nzuri wakati ule tuhuma za kupanga matokeo hazikupewa uzito tulionao leo.

MUHIMU: Yanga ikikosa Ubingwa basi sanasana itakuwa ya Pili, Simba mara kadhaa wameponea Chupu Chupu kushuka daraja.
 
watoto wa juzi mmeanza fatilia mpira 2010 🙂 🙂

sidhani hata kama umewahi kuisikia Tukuyu stars

instagram (7).jpg
 
Ahahahh,dah
Tunawapenda sana wadogo zetu, ni basi tu wao wanatuchukia lakini mapenzi yetu kwao kama kaka zao hayajawahi kuisha, hata pale waanapofika mbali kwetu ni furaha.
 
Yanga ni chuo kikuu cha majungu, ni kweli Simba ilikuwa katika hali mbaya ya kushuka daraja lakini si kweli yanga iliwaachia bali walifungwa kimchezo
Huu ubishi wenu wa kindezi next time hatutawaonea huruma tena,mshuke tu mkacheze na kiluvya fc huko.
 
watoto wa juzi mmeanza fatilia mpira 2010 🙂 🙂

sidhani hata kama umewahi kuisikia Tukuyu stars

View attachment 2440131

Timu sio tukuyu pekee kulikuwa na timu nyingi sana zilizo kuwa sawa sawa...

Kuna reli, kariakoo lindi, sigara, kurugenzi ktk wilaya na mikoa mbalimbali, RTC, Biashara, mwanza utd, nk

Timu zilikuwa nyingi na zilikuwa sawa sawa... tatizo lilikuwa ktk upangaji matokeo...
 
Kufungwa ni sehemu ya mchezo yaan ukose ubingwa eti kisa SIMBA asishuke kwa taarifa yako timu ambayo imebakiza mechi moja wanakuwa na nguvu sana angalia kagera alivyomfunga simba
 
Hii ndio maana halisi ya kaka kuwa muungwana kwa mdogo wake hata kama mdogo wake hampendi, kuna muda ilibidi kaka afanye uungwana ajishushe kumkubalia mdogo wake amshinde ili kumuokoa na kuna muda bro ilibidi ajishushe uwezo ili mpinzani achukue ubingwa ilimradi mdogo apone, yote haya yaliwahi kutokea kwenye ligi kuu ya hapa Tz, fatilia mkasa.

Mara Tatu mfufululizo Simba ilinusurika kushuka daraja,na mara mbili Yanga iliinusuru katika michezo ya mwisho kabisa ya ligi hiyo.

1989 Yanga iliinusuru Simba kushuka daraja kwa kukubali suluhu kwenye mechI ya mwisho ya iliyokuwa Ligi daraja la kwanza ( Leo ikiitwa Ligi kuu) ingetokea Simba wangefungwa tu, wangeshuka daraja na kwenda kuanzia kwenye ligi ya Mkoa.

pia msimu wa 1988 Yanga ilikubali kukosa ubingwa ili tu Simba isishuke kwa kukukubali kichapo cha 2-1 ilhali ingetoa droo tu ingekuwa Bingwa wa mwaka huo.

Halikadhalika msimu wa mwaka 1987, mwaka ambao tukuyu Stars ikiwa moto wa kifuu kwa kupanda daraja na kuchukua ubingwa mwaka huo huo, walipokutana na Simba waliwavurumishia magoli bila huruma, Huku mechi ikiwa inaendelea iliwabidi viongozi wa Simba kuyajenga pembeni na Tukuyu stars kuwaomba wapunguze spidi ya magoli na wawaruhusu wayasawazishe ilimradi wapate sare ya kuwanusuru kushuka daraja ( haijajulikana ilitumika bahasha ya kaki ama kubembeleza ), Tukuyu Stars a.ka Bhanyambala ilitoa ushirikiano na kuwaruhusu Simba kutoa sare ya 5-5, kwa bahati nzuri wakati ule tuhuma za kupanga matokeo hazikupewa uzito tulionao leo.

MUHIMU: Yanga ikikosa Ubingwa basi sanasana itakuwa ya Pili, Simba mara kadhaa wameponea Chupu Chupu kushuka daraja.
Na nyinyi mlivyo mrubuni hasan kesi wakati bado ana mkataba na simba mkamchezesha kwenye mechi 3 wakati hajamaliza mkataba na simba kama sheria zinafuatwa sasa hivi mngekuwa mpo na kitayose fc huko.
 
Hii ndio maana halisi ya kaka kuwa muungwana kwa mdogo wake hata kama mdogo wake hampendi, kuna muda ilibidi kaka afanye uungwana ajishushe kumkubalia mdogo wake amshinde ili kumuokoa na kuna muda bro ilibidi ajishushe uwezo ili mpinzani achukue ubingwa ilimradi mdogo apone, yote haya yaliwahi kutokea kwenye ligi kuu ya hapa Tz, fatilia mkasa.

Mara Tatu mfufululizo Simba ilinusurika kushuka daraja,na mara mbili Yanga iliinusuru katika michezo ya mwisho kabisa ya ligi hiyo.

1989 Yanga iliinusuru Simba kushuka daraja kwa kukubali suluhu kwenye mechI ya mwisho ya iliyokuwa Ligi daraja la kwanza ( Leo ikiitwa Ligi kuu) ingetokea Simba wangefungwa tu, wangeshuka daraja na kwenda kuanzia kwenye ligi ya Mkoa.

pia msimu wa 1988 Yanga ilikubali kukosa ubingwa ili tu Simba isishuke kwa kukukubali kichapo cha 2-1 ilhali ingetoa droo tu ingekuwa Bingwa wa mwaka huo.

Halikadhalika msimu wa mwaka 1987, mwaka ambao tukuyu Stars ikiwa moto wa kifuu kwa kupanda daraja na kuchukua ubingwa mwaka huo huo, walipokutana na Simba waliwavurumishia magoli bila huruma, Huku mechi ikiwa inaendelea iliwabidi viongozi wa Simba kuyajenga pembeni na Tukuyu stars kuwaomba wapunguze spidi ya magoli na wawaruhusu wayasawazishe ilimradi wapate sare ya kuwanusuru kushuka daraja ( haijajulikana ilitumika bahasha ya kaki ama kubembeleza ), Tukuyu Stars a.ka Bhanyambala ilitoa ushirikiano na kuwaruhusu Simba kutoa sare ya 5-5, kwa bahati nzuri wakati ule tuhuma za kupanga matokeo hazikupewa uzito tulionao leo.

MUHIMU: Yanga ikikosa Ubingwa basi sanasana itakuwa ya Pili, Simba mara kadhaa wameponea Chupu Chupu kushuka daraja.
Watakupinga
 
Back
Top Bottom