Boran Jakutay
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 110
- 259
Bibi Ghati Amon Mwita (63), Johnson Denis (10), na Vailet Denis (03) wakazi wa Mji wa Tarime wamepoteza maisha baada ya nyumba waliokuwa wanaishi kando ya Mto Wainani kusombwa na maji usiku wa kuamkia leo. Katika tukio hilo, watu wawili walinusurika kwa kujishikilia kwenye miti.