Mara: Bibi na wajukuu wake wasombwa na mafuriko

Boran Jakutay

Senior Member
Joined
Apr 8, 2023
Posts
110
Reaction score
259
Bibi Ghati Amon Mwita (63), Johnson Denis (10), na Vailet Denis (03) wakazi wa Mji wa Tarime wamepoteza maisha baada ya nyumba waliokuwa wanaishi kando ya Mto Wainani kusombwa na maji usiku wa kuamkia leo. Katika tukio hilo, watu wawili walinusurika kwa kujishikilia kwenye miti.

Your browser is not able to display this video.


 
Lala salama mama na wajukuu zako

Pole kwa familia na wote walioguswa na msiba huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…