denzo washington
Member
- May 7, 2013
- 23
- 7
second chance bwana ilikuwa nzuri yaan fupi tamu!! jasmin na traves
Hapa sijui na changanya.....,.hivi second chance ni ya kifilipino au ya kivenezuela......? Nimelewa nini........
Second Chance ni ya kule kwa Hugo Chaves..
Hapa sijui na changanya.....,.hivi second chance ni ya kifilipino au ya kivenezuela......? Nimelewa nini........
Nilidhani Dompo imenitenda........