denzo washington
Member
- May 7, 2013
- 23
- 7
Kati ya izi tamthilia mbili ipi ni kali?,na ni ipi iliyongoza kupendwa na watu zaidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
second chance bwana ilikuwa nzuri yaan fupi tamu!! jasmin na traves
Hapa sijui na changanya.....,.hivi second chance ni ya kifilipino au ya kivenezuela......? Nimelewa nini........
Second Chance ni ya kule kwa Hugo Chaves..
Hapa sijui na changanya.....,.hivi second chance ni ya kifilipino au ya kivenezuela......? Nimelewa nini........
Nilidhani Dompo imenitenda........