Kwa wale waloanzisha thread kuwa matokeo ni jumatatu mara jumatano na swaga za mfagizi wa mheshimiwa{thread imefutwa na mods kwa sababu za kimaadili ya kazi} haya sasa leo ndo leo tunawasubiri na thread mpya tena kwa saa hizi mpo busy mkitunga uongo mwingine tuwaeleweje
ANGALIZO:
Kama hauna uhakika na habari yako usianzishe uzi kuhusu matokeo ya kidato cha 4 waachie necta na wizara peke yake
leo wanaperuzi tu humu jamvini hawana jipya
leo wanaperuzi tu humu jamvini hawana jipya
duuuu!wameumbuka wameumbuka.
kidogo sasa
Yangoswe muachie ngoswe kwa hiyo matokeo kutoka muachie baraza

Ok!! mzazi kutokana na sababu za kiitifaki mh! naibu waziri yupo bize kwenye kikao cha baraza la mawaziri kwa ajili ya ujio wa Obamaspleen ehh tupe basi habari ikaweje mbona hakuna dalili?
wakuu nipo,hata hivyo yule mfagizi yupo iliyokuwa inaitwa The Kilimanjaro hotel kwa ajili ya maandalizi ya wale wageni mia saba,yupo bizze kinoma nahisi huyo mh! naibu ye ndio hata halali,but kuweni wapole Obama akiondoka kila kitu kitaenda kama kilivyopangwaati [spleen] eeh mbona hatukuoni
wakuu nipo,hata hivyo yule mfagizi yupo iliyokuwa inaitwa The Kilimanjaro hotel kwa ajili ya maandalizi ya wale wageni mia saba,yupo bizze kinoma nahisi huyo mh! naibu ye ndio hata halali,but kuweni wapole Obama akiondoka kila kitu kitaenda kama kilivyopangwa
spleen said:nipe bas jibu mkuu