Mara Matokeo Jumatatu mara Jumatano. ....jumatano si ndo leo sasa

Suplier

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
110
Reaction score
9
Kwa wale waloanzisha thread kuwa matokeo ni jumatatu mara jumatano na swaga za mfagizi wa mheshimiwa{thread imefutwa na mods kwa sababu za kimaadili ya kazi} haya sasa leo ndo leo tunawasubiri na thread mpya tena kwa saa hizi mpo busy mkitunga uongo mwingine tuwaeleweje
ANGALIZO:
Kama hauna uhakika na habari yako usianzishe uzi kuhusu matokeo ya kidato cha 4 waachie necta na wizara peke yake
 
leo wanaperuzi tu humu jamvini hawana jipya
 
Kwa wale waloanzisha thread kuwa matokeo ni jumatatu mara jumatano na swaga za mfagizi wa mheshimiwa{thread imefutwa na mods kwa sababu za kimaadili ya kazi} haya sasa leo ndo leo tunawasubiri na thread mpya tena kwa saa hizi mpo busy mkitunga uongo mwingine tuwaeleweje
ANGALIZO:
Kama hauna uhakika na habari yako usianzishe uzi kuhusu matokeo ya kidato cha 4 waachie necta na wizara peke yake

na mi naanzisha ya kwangu
 
Mbona jana necta wamesema kuwa matokeo yote ya kidato cha 4 na 6 yatatoka wiki ijayo ikiwa mambo yataenda vizuri.
 
ati [spleen] eeh mbona hatukuoni
wakuu nipo,hata hivyo yule mfagizi yupo iliyokuwa inaitwa The Kilimanjaro hotel kwa ajili ya maandalizi ya wale wageni mia saba,yupo bizze kinoma nahisi huyo mh! naibu ye ndio hata halali,but kuweni wapole Obama akiondoka kila kitu kitaenda kama kilivyopangwa
 
mi watu mingine bana inakuja nchini kutuharibia program zetu ah lakin najiuliza cpat jibu kwani obama ni wazr wa elimu wa marekani useme kamtembelea wazr mwenzake wa elimu emb
spleen said:
nipe bas jibu mkuu
 
Kwa hyo Obama ndo anasababsha matokeo yactoke?duuhh
 
Back
Top Bottom