Kwa wale waloanzisha thread kuwa matokeo ni jumatatu mara jumatano na swaga za mfagizi wa mheshimiwa{thread imefutwa na mods kwa sababu za kimaadili ya kazi} haya sasa leo ndo leo tunawasubiri na thread mpya tena kwa saa hizi mpo busy mkitunga uongo mwingine tuwaeleweje
ANGALIZO:
Kama hauna uhakika na habari yako usianzishe uzi kuhusu matokeo ya kidato cha 4 waachie necta na wizara peke yake
ANGALIZO:
Kama hauna uhakika na habari yako usianzishe uzi kuhusu matokeo ya kidato cha 4 waachie necta na wizara peke yake